Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI JENGO LA ABIRIA TERMINAL II ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa Serikali wakati alipowasili katika uwekaji wa jiwe la Msingi ujenzi wa jengo jipya la Abiria Terminal II katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo,ujenzi  wa jengo hilo unajengwa na Kampuni kutoka China Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa Jiwe la msingi ujenzi wa jengo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI KITUO CHA POLISI MBWENI,ZANZIBAR

Naibu Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati wa Zanzibar,Haji Mwadini Makame akifungua kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Vijana wadogo kutoka katika kituo cha Nyerere Shaolin Group wakionyesha umahiri wa kuweza kupambana na uhalifu katika sherehe za Uwekaji wa jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka...

 

9 years ago

Michuzi

Pinda aweka jiwe la msingi jiwe la Msingi la Jengo la makazi na Biashara la NHC Place eneo la Victoria jijini Dar es slaam

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Nyumba (NHC) wakati alipowasili kwenye eneo la ujenzi wa jengo la makazi na biashara la Victoria Place linalojengwa na NHC katika  eneo la Victoria jijini Dar es salaam  kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo Oktoba 20,2015.Kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki na kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Nyumba  (NHC),...

 

11 years ago

Michuzi

sherehe za kipaimara na uwekaji jiwe la msingi kwa kanisa jipya parokia ya babati


 Miongoni mwa vijana 116 waliopatiwa Kipaimara na Askofu wa Jimbo la Mbulu Mkoani Manyara, Beatus Kinyaiya, kwenye  kanisa la Parokia ya Roho Mtakatifu mjini Babati juzi, hapa wakipita mbele ya wageni na waumini mbalimbali wa eneo hilo.
Askofu wa Jimbo la Mbulu Mkoani Manyara, Beatus Kinyaiya akiweka jiwe la msingi juzi kwenye ujenzi wa kanisa jipya la Parokia ya Roho Mtakatifu mjini Babati, linalotarajia kugharimu sh915 milioni.

 

5 years ago

Michuzi

Rais Magufuli akagua maandalizi ya sherehe za uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa Ofisi za Ikulu Chamwino


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Mei, 2020 amekagua maandalizi ya sherehe za uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi za Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma zitakazofanyika kesho tarehe 30 Mei, 2020.
Jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi hizo litawekwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe...

 

11 years ago

Michuzi

mwandani wa mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere (New Terminal III Project)

Hii ni mojawapo ya kazi za MICHUZI MEDIA GROUP. Wasiliana nasi ukihitaji huduma kama hii kwa kampuni ama taasisi yako...Bofya hapo "Contact us" kwa mawasiliano na huduma zenye ubora wa kimataifa.

 

10 years ago

Vijimambo

Jiwe la msingi la jengo la NSSF Moshi kuwekwa leo

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Bw. Leonidas Gama ataweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo hili la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), lililo mtaa wa Aga Khan mjini Moshi leo, Novemba 23, 2014. Upande wa kushoto wa jengo hilo. Vyumba vyote vya jengo hilo vimeshapangishwa.Jengo linavyoonekana upande wa nyuma na kuufanya mji wa Moshi kuzidi kupendeza

 

9 years ago

GPL

RAIS JAKAYA KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA MOROCCO SQUARE JIJINI DAR

  Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akifungua pazia kuashiria  uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Jengo la Morocco Square Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia tukio hilo kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la  Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu, Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Dk.Charles Kimei, Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi. Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akisalimiana na wafanyakazi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani