Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamke mbaroni kwa kujeruhi kwa maji ya moto

JESHI la Polisi mkoani Singida linamshikilia mkazi wa Misuna, katika Manispaa ya Singida, Mary Muna (31) kwa tuhuma ya kumuunguza kwa maji ya moto mwilini mwanamke mwenzake kutokana na wivu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

MBARONI AKIDAIWA KUMUUA MUMEWE KWA MAJI YA MOTO

Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Mfinzi wilayani Nkasi mkoani hapa anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumwagia maji ya moto mumewe na kumsababishia kifo, kisha kuutumbukiza mwili wake mtoni.
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi usiku kijijini hapo na kumtaja aliyeuawa kuwa ni Evod Teola (62).

Alisema siku ya tukio mwanamume huyo alirejea nyumbani na kuanza mzozo na mkewe aliyemtaja kwa jina la Zelena Kiozya (55) ambaye...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbaroni akidaiwa kumuua mumewe kwa maji ya moto

>Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Mfinzi wilayani Nkasi mkoani hapa anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumwagia maji ya moto mumewe na kumsababishia kifo, kisha kuutumbukiza mwili wake mtoni.

 

11 years ago

Habarileo

7 mbaroni kwa kujeruhi Mbunge

WATU saba wanashikiliwa na Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za kumjeruhi Mbunge wa Mbeya Vijijini, Luckson Mwanjale.

 

5 years ago

BBCSwahili

Polisi mbaroni kwa kumburuza mwanamke umbali wa mita 200 kwa tuhuma za wizi

Viongozi na wanaharakati wa haki za binaadamu kutoka kaunti ya Nakuru nchini Kenya wamepaza sauti zao kukemea vitendo vya ukatili unaofanywa na polisi mjini humo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbaroni kwa kuua mwanafunzi kwa moto

Jeshi la Polisi mkoani hapa linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumjeruhi kwa moto na kusababisha kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ruaha mkoani Iringa (RUCO), Daniel Lema (25).

 

11 years ago

Mwananchi

Mwanamke mbaroni kwa kuchinja mtoto

Polisi mkoani Iringa, wanawashikilia watu sita kwa tuhuma tofauti. Watuhumiwa hao ni pamoja na mwanamke mmoja wa Iramba wilayani Mufindi,anayeshikiliwa kwa tuhuma za kumchinja mtoto wake na kumtupa chooni.

 

5 years ago

Michuzi

MWANAMKE MBARONI KWA TUHUMA ZA UTEKAJI NA UTAKATISHAJI FEDHA

MWANAMKE Angellah Kiwia na Mohamed Rushaka wakazi wa jijini Dar es salaam wamfikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka manne yakiwemo kutoka nyara na kutakatisha fedha
Washtakiwa hao ambao wamesomewa mashtaka yao leo Mei 11, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Rashid Chaungu wanadaiwa kuwa, kati ya Machi 1 na 31, 2020 katika maeneo tofauti Jiji la Dar es Salaam, kwa makusudi waliongoza genge la uhalifu kwa lengo la kujipatia...

 

9 years ago

StarTV

Polisi wilayani Bunda yamtia mbaroni mwanamke mmoja kwa vitendo vya ukatili

Polisi wilayani Bunda mkoani Mara inamshikilia mwanamke mmoja kwa tuhuma ya kumchoma moto mtoto wa kaka yake sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo sehemu za siri kwa madai ya kuiba mboga chunguni.

Mwanamke anayeshiliwa na Polisi ametambuliwa kwa jina la Jenipher Mtaki mwenye miaka 22 mkazi wa Migungani wilayani Bunda.

Tukio hilo ambalo limetokea desemba 15 mwaka huu, majira ya saa za usiku katika eneo la Migungani mjini Bunda, liligunduliwa na wasamalia wema waliotoa taarifa kwa Rebeca Kibore...

 

9 years ago

Mwananchi

Mama amchoma mwanaye kwa maji moto

Polisi mkoa wa Mara inamshikilia mwananke mmoja (jina tunalo) mkazi wa Bweri Manispaa ya Musoma kwa kosa la kumchoma mtoto wake mwenye miaka minne, kwa maji ya moto, mikono yote miwili baada ya kumtuhumu kuwa ameiba nyama jikoni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani