Polisi wilayani Bunda yamtia mbaroni mwanamke mmoja kwa vitendo vya ukatili
Polisi wilayani Bunda mkoani Mara inamshikilia mwanamke mmoja kwa tuhuma ya kumchoma moto mtoto wa kaka yake sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo sehemu za siri kwa madai ya kuiba mboga chunguni.
Mwanamke anayeshiliwa na Polisi ametambuliwa kwa jina la Jenipher Mtaki mwenye miaka 22 mkazi wa Migungani wilayani Bunda.
Tukio hilo ambalo limetokea desemba 15 mwaka huu, majira ya saa za usiku katika eneo la Migungani mjini Bunda, liligunduliwa na wasamalia wema waliotoa taarifa kwa Rebeca Kibore...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV03 Nov
Polisi Kigoma yamtia mbaroni James Charles  kwa kujifanya JWTZ
Polisi mkoani wa Kigoma wamefanikiwa kumkamata mtu mmoja mkazi kwa kijiji cha Mwamila wilaya ya Uvinza James Charles kwa tuhuma za kujifanya kuwa ni askari wa jeshi la wananchi wa Tanzaniua JWT, akitumia fursa hiyo kujipatia fedha kinyume cha sheria
James Charles aliyekamatwa kufuatia taarifa zilizotolewa na raia wema kwa jeshi hilo anatuhumiwa kufanya kazi za afisa uhamiaji jambo ambalo pia ni kosa kisheria .
Akizungumza na waandishi wa habari ofini kwake kamanda wa polisi mkoa...
11 years ago
Habarileo24 Apr
Vitendo vya ukatili kwa watoto vyaongezeka
WATOTO 863 nchini wamefanyiwa vitendo vya kikatili mwaka jana, ikiwemo kulawitiwa na walezi wao. Aidha katika kipindi hicho watu 1,669 waliuawa kwa wananchi kujichukulia sheria mkononi.
11 years ago
Mwananchi07 Aug
UKATILI: Inspekta wa Polisi mbaroni kwa tuhuma za kuua mwanaye
5 years ago
BBCSwahili11 Jun
Polisi mbaroni kwa kumburuza mwanamke umbali wa mita 200 kwa tuhuma za wizi
10 years ago
Dewji Blog26 Aug
THBUB yalaani mauaji na vitendo vya ukatili wa viungo vya watu wenye ulemavu wa ngozi!
Mtoto Mlemavu wa Ngozi (Albino) Adam Robert (13) wakati akiwa amelazwa hospitalini baada ya kujeruhiwa na kwa kukatwa mkono na kisha kunyofolewa Vidole sita vya mikono yote miwili,picha hii ilipigwa siku moja tu baada ya kufikishwa katika hospitali ya wilaya ya Geita. (Maktaba;Picha hii ilipigwa Oktoba 14 mwaka 2011).
Press Release_Albino Kukatwa Viungo by moblog
9 years ago
Dewji Blog25 Nov
Serikali yaahidi kushirikiana na mashirika na wadau wa habari kutokomeza vitendo vya ukatili kwa waandishi wa habari
Mkuu wa ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues (katikati) akisalimiana na Mjumbe wa bodi udhamini ya Mtandao wa Radio Jamii Tanzania (COMNETA), Balozi Mstaafu, Christopher Liundi alipowasili katika mkutano wa kitaifa wa mashauriano kuhusu hali ya usalama wa waandishi wa habari, uzinduzi wa kikosi kazi cha usalama wa waandishi wa habari na uandishi unaozingatia maadili ulioandaliwa na UNESCO. Kulia ni...
10 years ago
Mwananchi23 Dec
Mbeya, Rukwa vinara wa vitendo vya ukatili, ubakaji
9 years ago
StarTV25 Nov
Jamii yatakiwa kuungana kuvidhibiti vitendo vya ukatili
Kukithiri kwa ukatili katika jamii nchini hakupaswi kufumbiwa macho na badala yake nguvu ya pamoja ya kudhibiti vitendo hivyo inahitajika ili kuwanusuru waathirika.
Kutokana na takwimu za Taasisi ya takwimu Tanzania za mwaka 2010 za vitendo vya ukatili ambavyo vimeshamiri katika mikoa ya kanda ya ziwa zinaonyesha kuwa mkoa wa Mara unaongoza kwa asilimia 66 na mikoa ya Mwanza na Geita ikifuatia kwa asilimia 56 kila mmoja wakati mkoa wa Kagera ukiwa na asilimia 49 ya vitendo hivyo.
Kauli ya...
11 years ago
GPLPOLISI WANNE WAFUKUZWA KAZI KWA KUJIHUSISHA NA VITENDO VYA UHALIFU