Vitendo vya ukatili kwa watoto vyaongezeka
WATOTO 863 nchini wamefanyiwa vitendo vya kikatili mwaka jana, ikiwemo kulawitiwa na walezi wao. Aidha katika kipindi hicho watu 1,669 waliuawa kwa wananchi kujichukulia sheria mkononi.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogSAMIA: VITENDO VYA KULAWITI WATOTO WA KIUME NI UKATILI NA UDHALILISHAJI WA WATOTO, LAZIMA VIKOMESHWE
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amekemea vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa watoto hasa wa kiume ambao baadhi wamekuwa wakiwadhalilisha kwa kuwalawiti.
Ameyasema hayo leo mkoani Simiyu wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kitaifa mkoani hapa/
Makamu wa Rais amewataka Watanzania kusimama pampja kwa kila mmoja kuwa mlinzi wa mwenzie na kuwa katika mapambano hayo ya kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia.
"Sasa hii tabia ya kuwageuza...
9 years ago
StarTV18 Dec
Polisi wilayani Bunda yamtia mbaroni mwanamke mmoja kwa vitendo vya ukatili
Polisi wilayani Bunda mkoani Mara inamshikilia mwanamke mmoja kwa tuhuma ya kumchoma moto mtoto wa kaka yake sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo sehemu za siri kwa madai ya kuiba mboga chunguni.
Mwanamke anayeshiliwa na Polisi ametambuliwa kwa jina la Jenipher Mtaki mwenye miaka 22 mkazi wa Migungani wilayani Bunda.
Tukio hilo ambalo limetokea desemba 15 mwaka huu, majira ya saa za usiku katika eneo la Migungani mjini Bunda, liligunduliwa na wasamalia wema waliotoa taarifa kwa Rebeca Kibore...
9 years ago
StarTV24 Nov
Serikali yatakiwa kuondoa vitendo vinavyochochea Ukatili Wa Watoto
Wanaharakati wanaopinga ukatili wa Kijinsia na kutetea haki za Watoto nchini, wameitaka serikali kuondoa vitendo vinavyochochea ukatili kwa watoto ili wasiathirike katika maisha yao.
Aidha wameishauri Serikali kuangalia vitendo hivyo visije kuvunja na kuathiri malezi bora ya vizazi vijavyo kwakutengeneza jamii yenye mmomonyoko wa maadili katika sekta za maendeleo.
Tanzania, Maadhimisho ya siku 16 za kupinga Ukatili wa Kijinsia yamelenga zaidi suala la usalama shuleni kwa lengo la...
10 years ago
Dewji Blog26 Aug
THBUB yalaani mauaji na vitendo vya ukatili wa viungo vya watu wenye ulemavu wa ngozi!
Mtoto Mlemavu wa Ngozi (Albino) Adam Robert (13) wakati akiwa amelazwa hospitalini baada ya kujeruhiwa na kwa kukatwa mkono na kisha kunyofolewa Vidole sita vya mikono yote miwili,picha hii ilipigwa siku moja tu baada ya kufikishwa katika hospitali ya wilaya ya Geita. (Maktaba;Picha hii ilipigwa Oktoba 14 mwaka 2011).
Press Release_Albino Kukatwa Viungo by moblog
9 years ago
Habarileo04 Sep
‘Ngoma huzidisha vitendo vya kikatili kwa watoto’
KAMATI ya Ulinzi wa Mtoto ngazi ya Kijiji cha Manerumango Kaskazini mkoani Pwani imekiri kuwa kipindi cha ngoma ndio wakati ambao vitendo vya ukatili kwa watoto hutokea hasa kupata ujauzito na wengine kulawitiwa.
9 years ago
Dewji Blog25 Nov
Serikali yaahidi kushirikiana na mashirika na wadau wa habari kutokomeza vitendo vya ukatili kwa waandishi wa habari
Mkuu wa ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues (katikati) akisalimiana na Mjumbe wa bodi udhamini ya Mtandao wa Radio Jamii Tanzania (COMNETA), Balozi Mstaafu, Christopher Liundi alipowasili katika mkutano wa kitaifa wa mashauriano kuhusu hali ya usalama wa waandishi wa habari, uzinduzi wa kikosi kazi cha usalama wa waandishi wa habari na uandishi unaozingatia maadili ulioandaliwa na UNESCO. Kulia ni...
10 years ago
Mwananchi23 Dec
Mbeya, Rukwa vinara wa vitendo vya ukatili, ubakaji
9 years ago
StarTV25 Nov
Jamii yatakiwa kuungana kuvidhibiti vitendo vya ukatili
Kukithiri kwa ukatili katika jamii nchini hakupaswi kufumbiwa macho na badala yake nguvu ya pamoja ya kudhibiti vitendo hivyo inahitajika ili kuwanusuru waathirika.
Kutokana na takwimu za Taasisi ya takwimu Tanzania za mwaka 2010 za vitendo vya ukatili ambavyo vimeshamiri katika mikoa ya kanda ya ziwa zinaonyesha kuwa mkoa wa Mara unaongoza kwa asilimia 66 na mikoa ya Mwanza na Geita ikifuatia kwa asilimia 56 kila mmoja wakati mkoa wa Kagera ukiwa na asilimia 49 ya vitendo hivyo.
Kauli ya...
10 years ago
Dewji Blog25 Feb
Serikali ya Tanzania, UNICEF waendesha warsha kwa vyombo vya habari kuzuia ukatili kwa watoto
Julieth Swai Mwakilishi kutoka UNICEF akizungumza jambo.
Baadhi ya washiriki wa Warsha wakifuatilia kwa makini.
Mmoja wa washiriki wakiuliza maswali katika warsha hiyo.
Kimela Bila Mwandaaji wa Kipindi cha Walinde Watoto akizungumza katika Warsha hiyo.
Mathias Haule, Afisa Maendeleo ya Jamii maswala ya Ukatili dhidi ya Watoto kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto akielezea Sheria ya Mtoto.
Neema Kimaro, Mratibu wa kipindi cha Walinde Watoto kutoka True...