Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAMIA: VITENDO VYA KULAWITI WATOTO WA KIUME NI UKATILI NA UDHALILISHAJI WA WATOTO, LAZIMA VIKOMESHWE

Na Mwandishi Maalum, Simiyu
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amekemea vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa watoto hasa wa kiume ambao baadhi wamekuwa wakiwadhalilisha kwa kuwalawiti.

Ameyasema hayo leo mkoani Simiyu wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kitaifa mkoani hapa/

Makamu wa Rais amewataka Watanzania kusimama pampja kwa kila mmoja kuwa mlinzi wa mwenzie  na kuwa katika mapambano hayo ya kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia.

"Sasa hii tabia ya kuwageuza...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Vitendo vya ukatili kwa watoto vyaongezeka

WATOTO 863 nchini wamefanyiwa vitendo vya kikatili mwaka jana, ikiwemo kulawitiwa na walezi wao. Aidha katika kipindi hicho watu 1,669 waliuawa kwa wananchi kujichukulia sheria mkononi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wachungaji watatu 3 jijini Arusha wanashikiliwa na polisi kwa kulawiti watoto 6 wakiwamo 2 wa jinsia ya kiume

bomu

Kamanda wa Polisi Arusha, Liberatus Sabas.

Na Mwandishi wetu

WATOTO sita, wakiwemo wawili wa kiume wenye umri wa miaka 8 hadi 14 wameharibiwa vibaya sehemu zao za siri baada ya kubakwa kanisani na watu wanaodaiwa ni wachungaji.

Wakiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru walikopelekwa kwa matibabu na kuangaliwa maambukizi ya magonjwa ya zinaa, watoto hao walidai kufanyiwa mchezo huo kwa nyakati tofauti  na wachungaji watatu wa kanisa hilo lililopo eneo la  Feed Force, Kwamrombo...

 

5 years ago

Michuzi

TUNAWAHARIBU WATOTO WA KIUME TUNAJENGA TAIFA GANI: SAMIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekemea vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa watoto hasa wakiume ambao wamekuwa wakidhalilishwa kwa kuwaingilia kinyume na maumbile.

Ameyasema hayo leo mkoani Simiyu wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kitaifa mkoani humo.

Amewataka watanzania kusimama pampja kwa kila mmoja kuwa mlinzi wa mwenzie kila mmoja kuwa katika mapambano haya ya kuondokana na vitendo vya ukatili wa kijinsia.

"Sasa hii...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yatakiwa kuondoa vitendo vinavyochochea Ukatili Wa Watoto

Wanaharakati wanaopinga ukatili wa Kijinsia na kutetea haki za Watoto nchini, wameitaka serikali kuondoa vitendo vinavyochochea ukatili kwa watoto  ili  wasiathirike katika maisha yao.

Aidha wameishauri Serikali kuangalia vitendo hivyo visije kuvunja na kuathiri malezi bora ya vizazi vijavyo kwakutengeneza  jamii yenye mmomonyoko wa maadili katika sekta za maendeleo.

Tanzania, Maadhimisho ya siku 16 za kupinga Ukatili wa Kijinsia yamelenga zaidi suala la usalama  shuleni kwa lengo la...

 

9 years ago

Habarileo

‘Ngoma huzidisha vitendo vya kikatili kwa watoto’

KAMATI ya Ulinzi wa Mtoto ngazi ya Kijiji cha Manerumango Kaskazini mkoani Pwani imekiri kuwa kipindi cha ngoma ndio wakati ambao vitendo vya ukatili kwa watoto hutokea hasa kupata ujauzito na wengine kulawitiwa.

 

11 years ago

Habarileo

'Vibabu' vyadaiwa kulawiti watoto 6

WAZEE wawili akiwemo mlinzi mmoja wa ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya wilaya ya Bunda, mkoani Mara, wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kulawiti wanafunzi sita wa shule za msingi zilizoko wilayani hapa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kasisi akiri kulawiti watoto UK

Kasisi mwenye umri wa miaka 85 nchini Uingereza amekiri kosa la kulawiti watoto wengi wavulana na kuwaharibu wengine wengi wasichana

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbaroni akidaiwa kulawiti watoto

JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Mhandisi Msose Michael (35) mkazi wa Mkaongo Juu Dar es Salaam, kwa tuhuma za kuwalawiti mabinti wawili katika Kijiji cha Zogowale wilayani ya...

 

11 years ago

Habarileo

Adaiwa kuhonga ubuyu kulawiti watoto

MKAZI wa mmoja wa Kijiji cha Igurubi Tarafa ya Igurubi Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwaingilia kimwili watoto wenye umri wa chini ya miaka kumi, baada ya kuwarubuni kwa kuwapa ubuyu na Sh 500 taslimu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani