HEKAYA ZA MLEVI: Maajabu haya yapo Tanzania tu...
>Mungu aliiumba dunia na vyote vilivyomo ndani ya siku sita tu. Katika vyote vilivyoumbwa, binadamu ndiye aliyekuwa wa mwisho kabisa. Akina ngiri, kuku na sisimizi walitutangulia. Mgomba, muhogo na mwembe tulivikuta vikiwa tayari. Lakini upo msemo wa “wa mwisho atakuwa wa kwanzaâ€. Huyu wa mwisho kuumbwa ndiye akateuliwa kuwa kiongozi wa kila alichokikuta.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Mar
HEKAYA ZA MLEVI: Uzalendo siyo ugaidi
>Wabantu kuichukulia salamu kuwa ni habari kamili. Kule Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, usishangae kuulizwa kuku na bata “waghonile�
11 years ago
Mwananchi15 Feb
HEKAYA ZA MLEVI: Nikilewaga na pombe yangu inamwagika
>Ama kweli shibe mwana malevya. Wazungu walikuwa na usemi wa “Too much of anything is harmful.†Chochote kile kinapozidi huzua madhara. Sherehe zikizidi kazi haitafanyika na kazi ikizidi mapumziko yatakosekana.
11 years ago
Mwananchi03 May
HEKAYA ZA MLEVI: Ni wajibu kuwajibika pasi na kutukanika
Mtu akikwambia kuwa una akili za kitoto, nenda kamshtaki. Sina uhakika kama kuna kifungu cha sheria kinachohalalisha mashtaka ya aina hiyo, ama nianze maombi ya kulipenyeza hilo ndani ya Bunge Maalumu la Katiba. Lakini mtu mzima kuambiwa ana akili za kitoto si jambo dogo.
10 years ago
Mwananchi25 Oct
HEKAYA ZA MLEVI: Paka shume sina jalala...
>Mtu mzima anapoambiwa kuwa na mambo ya kitoto, anaweza kupasuka. Siyo kama mtoto ni mjinga saaaaaana, hapana. Ila mtoto huwaza kidogo, kufurahi sana na kupumzika zaidi.
10 years ago
Mwananchi27 Dec
HEKAYA ZA MLEVI: Vua suti ujitwishe debe la dhahabu
Tanzania ina kila aina ya vituko. Muuza nguo anakuletea shati, badala ya kutaja bei anakuuliza “unataka kununua shilingi ngapi?†Una dhahabu mkononi, unapotaka kuiuza mnunuzi haangalii ina ubora au daraja gani. Anakuuliza “dhahabu hii imefanana na ya nani?†Kama inafanana na ile ya Juma utalipwa kama alivyolipwa Juma. Kama imefanana na aliyouza Mr. Smith basi nawe utalipwa kama alivyolipwa Mr. Smith.
11 years ago
Mwananchi01 Feb
HEKAYA ZA MLEVI: Eti, mwanangu acheze picha ya ngono?
>Maneno mengi ya Kiswahili yanarudi kama mapya baada ya kupotea kwa muda mrefu. Kwa mfano wasomaji wa Biblia Takatifu wameshakutana na neno “fisadi†katika Agano la Kale.
11 years ago
Mwananchi03 Aug
HEKAYA ZA MLEVI: Ujana maji moto, uzee maji baridi
>Ukubwa hauna ngoma ya utambulisho, kadhalika uzee hauna parapanda. Pindi yanapokufika basi utayaona na huna budi kuyakubali. Hayupo awaye yote aliyejaribu na kufanikiwa kukwepa majukumu haya yasiyo ya hiyari. Ukimwona mtu anayakwepa, basi uwe na uhakika kuwa anajaribu kukitoroka kivuli chake bila mafanikio.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MoQW6swxykWcai-4ApDDfDt8G3RQmnY04TPdMEcrXS2sT9zPqzI9Bu793A8AU029NG*gGBZ0VIQmVbRzFG-JNoDACwytnp1c/Maajabu.jpg?width=650)
HAYA NDIYO MAAJABU YAKE MTOTO ALIYENUSURIKA KWA MKONO WA MUNGU
Na Haruni Sanchawa
MTOTO Jacqueline Lepenza, aliyenusurika katika ajali mbaya ya basi lililogongana na lori huko Mafinga mkoani Iringa wiki mbili zilizopita, ameripotiwa kuwa na maajabu baada ya baba yake mzazi kujitokeza na kusimulia, Uwazi linakutaarifu. Jacqueline Lepenza, akiwa na baba'ke. Willy Lupenza, baba mzazi wa mtoto huyo mwenye umri wa miaka mitatu na nusu, alisema marehemu mke wake, Anjela Osward (35) (pichani)...
9 years ago
Mwananchi24 Nov
Elimu ya Tanzania na maajabu yake
Ni Tanzania pekee ambapo watu wachache wakiwamo wanasiasa wana uwezo wa kuichezea sekta ya elimu watakavyo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania