HAYA NDIYO MAAJABU YAKE MTOTO ALIYENUSURIKA KWA MKONO WA MUNGU
![](http://api.ning.com:80/files/MoQW6swxykWcai-4ApDDfDt8G3RQmnY04TPdMEcrXS2sT9zPqzI9Bu793A8AU029NG*gGBZ0VIQmVbRzFG-JNoDACwytnp1c/Maajabu.jpg?width=650)
Na Haruni Sanchawa MTOTO Jacqueline Lepenza, aliyenusurika katika ajali mbaya ya basi lililogongana na lori huko Mafinga mkoani Iringa wiki mbili zilizopita, ameripotiwa kuwa na maajabu baada ya baba yake mzazi kujitokeza na kusimulia, Uwazi linakutaarifu. Jacqueline Lepenza, akiwa na baba'ke. Willy Lupenza, baba mzazi wa mtoto huyo mwenye umri wa miaka mitatu na nusu, alisema marehemu mke wake, Anjela Osward (35) (pichani)...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EFRV*I*wRwJPaxQ43zv*u8PCj6Qv0Sj14YbEnHhBscx1s2s-t8v7Qnjl2wa47VkDcRr4RiDi4gJAjex5jW3U5gKhg5dhPS24/f.jpg?width=650)
MTOTO ALIYENUSURIKA KWA MKONO WA MUNGU! AJALI YA KONTENA MAFINGA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nLML9an*avqOshNr46D7vBhs9oF7yLzd3hNSR4mbmSNT3XhgNrYGIi**7YigpyyqJRjlmutkYl-scMHEmNmlkxwgprN4AElY/FRONTUWAZI.jpg)
POLISI ALIYEUAWA AKIMUOKOA MTOTO, HAYA NDIYO MANENO YAKE YA MWISHO!
10 years ago
Vijimambo15 Nov
9 years ago
Mwananchi01 Nov
Haya ndiyo matamanio ya Watanzania kwa Dk Magufuli
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IlN0UevPKmYtX1XlvEZsKdx*uvfR1sOpMOOhnw6TDgiJfOPmsRH27NHln5FphnrWi8gJmP*XsEEnreJuFRdVWPyH-KGi8Z18/maajabuhaswa.jpg?width=650)
MAAJABU YA MUNGU!
9 years ago
StarTV25 Aug
Haya ndiyo yaliyojiri kwa Arsenal VS livepool jana
Katika mchezo huo mikwaju miwili ya Philippe Coutinho ililenga mwamba huku kiungo wa Arsenal Aaron Ramsey akikataliwa goli alilofunga kipindi cha kwanza kutokana na kuwa katika mstari wa kuotea.
Cech aliokoa kwa mara nyingine mkwaju wa karibu wa Christian Benteke na kuucheza tena kwa...
9 years ago
Bongo Movies17 Dec
Haya Ndiyo Maneno ya Diamond kwenda Kwa Dr. Mwaka
Staa wa Bongo Fleva anayetamba hivi sasa na kibao cha Je Utanipenda, Diamond Platinum amemtakia kheri na Baraka mtaalamu wa dawa za tiba mbadala kwa magonjwa ya kinamama, Dr J J Mwaka wa kituo cha Foreplan Herbal Clinic kutokana na mchango wake kwenye kusaidia mziki wa kibongo.
![Diamond Akiwa na Dr.Mwaka](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2015/12/DIAMND56.png)
Diamond Akiwa na Dr.Mwaka
Mbali na Dokta huyo kukabiliwa na changamoto kubwa kuhusu huduma zake kwa sasa, Diamond ambaye ametumika kwenye matangazo ya Dokta huyo ameandika haya leo mtandaoni mara baada ya kuweka picha...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3QWN5yhdbad2VRXD9ZcfmZzhD6vSeXde*vBiNXxqP8JKH89K3nBDxLRHV0tvPlY8wtnGb-xcc0EYIqGEMxntgsOvX3YcZBcS/magari.jpg)
HAYA NDIYO MAGARI VINARA KWA KUVUNJA SHERIA!
11 years ago
Mwananchi15 Feb
Maajabu ya ‘Shimo la Mungu’ Newala