Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTOTO ALIYENUSURIKA KWA MKONO WA MUNGU! AJALI YA KONTENA MAFINGA

Na Mwandishi Wetu, Iringa
BADO Mji wa Mafinga wilayani Mufindi mkoani hapa haujakaa sawa kufuatia vifo vya watu 50 waliopoteza maisha kwa ajali ya kontena kudondokea Basi la Majinja lenye namba za usajili T 438 CED iliyotokea Machi 11, 2015, Uwazi limechimba. Mtoto aliyenusurika kwenye ajali. Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Changarawe mjini Mafinga ambapo kontena hilo lilikuwa kwenye lori la mizigo la Scania lenye namba za...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HAYA NDIYO MAAJABU YAKE MTOTO ALIYENUSURIKA KWA MKONO WA MUNGU

Na Haruni Sanchawa
MTOTO Jacqueline Lepenza, aliyenusurika katika ajali mbaya ya basi lililogongana na lori huko Mafinga mkoani Iringa wiki mbili zilizopita, ameripotiwa kuwa na maajabu baada ya baba yake mzazi kujitokeza na kusimulia, Uwazi linakutaarifu. Jacqueline Lepenza, akiwa na baba'ke. Willy Lupenza, baba mzazi wa mtoto huyo mwenye umri wa miaka mitatu na nusu, alisema marehemu mke wake, Anjela Osward (35) (pichani)...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WATU ZAIDI YA 30 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA MAFINGA, IRINGA, LEO BAADA YA BASI LA ABIRIA KUANGUKIWA NA KONTENA

Watu zaidi ya 30 wanasadikiwa kupoteza na maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya sana katika ajali mbaya iliyotokea mapema leo asubuhi,maeneo ya Changarawe,Mafinga Mkoani Iringa,iliyohusisha Lori la Mizigo na Basi la abiria la Kampuni ya Majinja lililokuwa likitokea Mkoani Mbeya kuelekea jijini Dar es salaam.
Ajali hiyo imetokea baada ya Lori hilo la Mizigo lililokuwa likitokea Jijini Dar kuelekea Mbeya kuligonga na kuliangukia basi hilo wakati lililokuwa likikwepa shimo kubwa lililopo...

 

10 years ago

Michuzi

MUFINDI HIGHLANDS SCHOOL YAPOKELEWA KWA SHANGWE NA WAZAZI SOUTHERN HIGHLANDS MAFINGA ,WAUNGA MKONO KWA KUCHANGIA PESA


Mkurugenzi  mtendaji  wa  shule   ya Southern Highlands Mafinga  Bi Mary Mungai kushoto  akiwa na  wageni mbalimbaliWanafunzi  wa shule ya  Southern Highlands Mafinda wakipiga  vyombo  vya muziki  walipokuwa  wakiimba  wimbo wa Taifa siku ya mahafali ya  chekechea na siku ya  wazazi shuleni hapoMsimamizi  mkuu wa Library katika shule ya Southern Highlands Mafinga Glory Mgullah AkijitambulishaMwalimu Bi  Sarah akijitambulisha mbele ya  wazaziWageni  mbalimbali wakiwa katika  hafla ya  siku...

 

10 years ago

Mwananchi

Aliyenusurika ajali ya Mbeya asimulia

>Mmoja wa majeruhi wa ajali iliyoua watu 19, Mariam Manfredy (28) aliyevunjika mguu wa kushoto, anasimulia ajali hiyo na kusema chanzo ni mwendo kasi na kuungua kwa breki.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtoto aliyenusurika kifo baada ya kukatwa kimeo

>“Mwanangu aitwaye Leri (si jina halisi) mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi mitatu. Siku ya pili baada ya kumpeleka kwa mkata vimeo maeneo ya Kariakoo, nilikuwa na matumaini atapona kikohozi kumbe nimemuongezea matatizo. Hali yake ni mbaya.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mtoto aliyenusurika kimuujiza Sudan Kusini apata fahamu

Msichana wa umri wa miezi 14 aliyenusurika ajali ya ndege mjini Juba, Sudan Kusini Jumatano amepata fahamu, madaktari wamesema

 

5 years ago

BBCSwahili

Amina ni Mtoto mchanga aliyenusurika baada ya kupigwa risasi mbili

Amina alikua ni mmoja wa manusura wenye umri mdogo zaidi katika wodi ya kujifungulia nchini Afghanstan.

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA QWIHAYA YAUNGA MKONO SERIKALI VIFAA KINGA VYA CORONA STENDI YA MAFINGA

Na Matukiodaimablog.
Kipima joto kilichotolewa na Kampuni ya Qwihaya General Enterprises Co Ltd kimesababisha wananchi wanaofanya kazi stendi ya Mafinga wilayani Mufindi kusimamisha shughuli zao kwa muda ili wapime joto la miili yao.

Wananchi hao wakiwepo wapiga debe na wafanyabiashara ndogo ndogo walimteua mwenzao, akajifunza kukitumia na baadae walipanga foleni ili kila mmoja apime kujua joto la mwili wake.

Kifaa hicho, matenki mawili ya kuhifadhia maji na vitakasa mikono ni miongoni mwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Waliokufa ajali ya basi Mafinga sasa wafikia 50

Idadi ya watu waliofariki dunia katika ajali ya Basi la Majinjah imeongezeka na kufikia 50. Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza alisema maiti zilizotambuliwa na zile zilizobakia, walipohesabu waligundua idadi yao kufikia 50.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani