Waliokufa ajali ya basi Mafinga sasa wafikia 50
Idadi ya watu waliofariki dunia katika ajali ya Basi la Majinjah imeongezeka na kufikia 50. Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza alisema maiti zilizotambuliwa na zile zilizobakia, walipohesabu waligundua idadi yao kufikia 50.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Waliokufa sasa wafikia tisa
10 years ago
Tanzania Daima17 Oct
Waliokufa ajali ya moto Mbagala wafikia saba
IDADI ya watu waliokufa kwa ajali moto iliyotokea baada ya lori la mafuta kupinduka eneo la Mbagala Charambe jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki imeongezeka na kufikia saba huku...
10 years ago
Uhuru Newspaper09 Sep
Waliokufa, majeruhi ajali ya basi waanza kutambuliwa
NA LATIFA GANZEL, MOROGORO
MAITI mbili kati ya nne za ajali ya basi la kampuni ya Air Bus iliyotokea juzi wilayani Gairo, zimetambuliwa.
Basi hilo lilipata ajali likiwa safarini kutoka Dar es Salaam kwenda Tabora.
Aidha, majeruhi 30 wa ajali hiyo bado wamelazwa katika hospitali za Berega na ya rufani ya mkoa wa Morogoro, wakipatiwa matibabu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paul, alisema jana ofisini kwake mjini hapa kuwa waliotambuliwa ni Amina Rashid (50), mkulima na mkazi wa...
11 years ago
Mwananchi01 Apr
Sasa tuseme ajali za mabasi zimetosha ajali hizi basi
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Kf8jvkiJLLI/VQAPiAQ-RzI/AAAAAAAHJhc/E29CU9kdMvo/s72-c/IMG-20150311-WA0005.jpg)
NEWS ALERT: WATU ZAIDI YA 30 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA MAFINGA, IRINGA, LEO BAADA YA BASI LA ABIRIA KUANGUKIWA NA KONTENA
![](http://3.bp.blogspot.com/-Kf8jvkiJLLI/VQAPiAQ-RzI/AAAAAAAHJhc/E29CU9kdMvo/s1600/IMG-20150311-WA0005.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-YrffIUaPznU/VQAV5NhjcvI/AAAAAAAHJhs/Z2y_CB55Yq4/s1600/IMG-20150311-WA0002.jpg)
10 years ago
Habarileo12 May
Waliokufa mafuriko ya Dar wafikia 12
MIILI zaidi ya watu waliokufa katika mafuriko ya mvua inayoendelea kunyesha Dar es Salaam, imeongezeka na kufikia 12 akiwemo mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Kigogo mwenye umri wa miaka 13.
9 years ago
Habarileo15 Oct
Waliokufa hijja Makka wafikia 22
IDADI ya mahujaji wa Tanzania waliopoteza maisha katika ajali iliyotokea Saudi Arabia imefikia 22.
10 years ago
Habarileo10 Mar
Waliokufa maafa ya mvua wafikia 47
IDADI ya watu waliofariki kutokana na mvua kubwa ya mawe, iliyopewa jina la tonado, sasa imefikia watu 47 baada ya majeruhi mwingine aliyekuwa amelazwa katika hospitali ya wilaya ya Kahama kufariki dunia juzi.
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Waliokufa moto Mbagala wafikia watano
WATU watano wamefariki dunia na wengine 16 kujeruhiwa kutokana na ajali ya moto iliyotokea Mbagala jijini Dar es Salaam juzi. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Kanda Maalum Dar...