Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliokufa, majeruhi ajali ya basi waanza kutambuliwa


NA LATIFA GANZEL, MOROGORO
MAITI mbili kati ya nne za ajali ya basi la kampuni ya Air Bus iliyotokea juzi wilayani Gairo, zimetambuliwa.
Basi hilo lilipata ajali likiwa safarini kutoka Dar es Salaam kwenda Tabora.
Aidha, majeruhi 30 wa ajali hiyo bado wamelazwa katika hospitali za Berega na ya rufani ya mkoa wa Morogoro, wakipatiwa matibabu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paul,  alisema jana ofisini kwake mjini hapa kuwa waliotambuliwa ni Amina Rashid (50), mkulima na mkazi wa...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Waliokufa ajali ya basi Mafinga sasa wafikia 50

Idadi ya watu waliofariki dunia katika ajali ya Basi la Majinjah imeongezeka na kufikia 50. Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza alisema maiti zilizotambuliwa na zile zilizobakia, walipohesabu waligundua idadi yao kufikia 50.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Majeruhi ajali ya basi na treni wasaidiwa

SERIKALI ya Mkoa wa Morogoro na wadau wengineo wametoa misaada mbalimbali zikiwemo fedha tasilimu kwa majeruhi wa ajali ya basi kugonga treni wanaotibiwa hospitali ya Mt. Francis wilayani hapa. Katika...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA MAJERUHI KATIKA AJALI YA BASI LA BURUDANI, KOROGWE

Hospitali ya wilaya ya Korogwe. Majeruhi wakipatiwa matibabu. Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo ( kushoto)…

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA MAJERUHI WA AJALI YA BASI LA LUHUYE WAKIWA HOSPITALI YA RUFAA BUGANDO, MWANZA

Baadhi ya majeruhi katika ajali ya Basi la Luhuye Express iliyotokea juzi Wilaya ya Busega mkoani Simiyu wakipelekwa chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Mwanza. Mpaka sasa watu 16 wamepoteza maisha. Majeruhi wakiwa hospitalini Bgando.…

 

9 years ago

Vijimambo

WALIOKUFA MLIPUKO WA CHINA WAFIKIA WATU 50, MAJERUHI 700

 Mlipuko mkubwa uliotokea katika mji wa Tianjin kaskazini mwa China umeuwa watu 50 huku wengine wapatao 700 wakijeruhiwa. Moshi mweusi bado umetanda kutoka ghala hilo lililopo katika mji wa bandari wa Tianjin ambako milipuko ilitokea jana usiku.
 Mabweni ya wahamiaji yaliporomoka kutokana na milipuko hiyo. Video zilizowekwa katika mitandao ya kijamii zinaonyesha moto mkubwa na wingu kubwa la moshi lililotanda angani. Mlipuko huo mkubwa katika mji wa China Tianjin-ambao ni mji wa Bandari kuu...

 

11 years ago

Mwananchi

Sasa tuseme ajali za mabasi zimetosha ajali hizi basi

Kwa mara nyingine, nchi yetu imepata janga jingine kubwa baada ya ajali mbili kutokea katika mikoa ya Pwani na Kilimanjaro mwishoni mwa wiki iliyopita na kusababisha vifo kwa watu zaidi ya 30.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Waliokufa ajali ya moto Mbagala wafikia saba

IDADI ya watu waliokufa kwa ajali moto iliyotokea baada ya lori la mafuta kupinduka eneo la Mbagala Charambe jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki imeongezeka na kufikia saba huku...

 

10 years ago

GPL

TUJIONGEZE: WABUNGE WA TANZANIA WALIOKUFA KWA AJALI

WIKI iliyopita tuliwaletea marais waliouawa kwa risasi wakiwa madarakani. Wiki hii tunawaletea wabunge wa Tanzania waliokufa kwa ajali, iwe ndege, gari au usafiri wowote ule! Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Tarime (Chadema), marehemu Chacha Zakayo Wangwe enzi za uhai wake. Hussein Ramadhan Shekilango; alikuwa Mbunge wa Jimbo la Korogwe (CCM) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (utawala). Alifariki dunia Mei 11, 1980 kwa ajali...

 

10 years ago

Habarileo

MOI yafurika majeruhi ajali za bodaboda

TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) imesema imekuwa ikipokea asilimia kubwa ya wagonjwa walioumia vichwa na migongo, kutokana na ajali zinazosababishwa na pikipiki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani