Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majeruhi ajali ya basi na treni wasaidiwa

SERIKALI ya Mkoa wa Morogoro na wadau wengineo wametoa misaada mbalimbali zikiwemo fedha tasilimu kwa majeruhi wa ajali ya basi kugonga treni wanaotibiwa hospitali ya Mt. Francis wilayani hapa. Katika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

AJALI YA GARI KUGONGA TRENI NA KUSABABISHA KIFO NA MAJERUHI

Mnamo Tarehe 12.6.2020 majira ya saa 17.20hrs huko maeneo ya Mwakanga kwenye makutano ya njia ya reli na barabara itokayo Chanika kwenda Pugu wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam, treni ya abiria iliyokuwa ikitokea Stesheni ya TAZARA Dar es Salaam kuelekea Mbeya ikiendeshwa na Judith Lupenzi na Rita Mduma iligongwa na Gari aina ya daladala no T503 CMZ aina ya EICHER lililokuwa likitokea Chanika kwenda Buguruni na kusababisha kifo Cha abiria mmoja mwanaume aliyejulikana kwa jina la Salehe...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Waliokufa, majeruhi ajali ya basi waanza kutambuliwa


NA LATIFA GANZEL, MOROGORO
MAITI mbili kati ya nne za ajali ya basi la kampuni ya Air Bus iliyotokea juzi wilayani Gairo, zimetambuliwa.
Basi hilo lilipata ajali likiwa safarini kutoka Dar es Salaam kwenda Tabora.
Aidha, majeruhi 30 wa ajali hiyo bado wamelazwa katika hospitali za Berega na ya rufani ya mkoa wa Morogoro, wakipatiwa matibabu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paul,  alisema jana ofisini kwake mjini hapa kuwa waliotambuliwa ni Amina Rashid (50), mkulima na mkazi wa...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA MAJERUHI KATIKA AJALI YA BASI LA BURUDANI, KOROGWE

Hospitali ya wilaya ya Korogwe. Majeruhi wakipatiwa matibabu. Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo ( kushoto)…

 

10 years ago

Habarileo

Ajali ya basi, treni yaua 12

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard PaulMATUKIO ya ajali za barabarani nchini yameendelea kuteketeza maisha ya Watanzania, baada ya jana watu 12 kufa papo hapo katika ajali iliyohusisha basi na treni katika makutano ya reli eneo la Kiberege, wilaya Kilombero mkoani Morogoro.

 

10 years ago

GPL

MAAJABU AJALI YA BASI KUGONGA TRENI

Stori: Dustan Shekidele NImaajabu ya Mungu! Nyuma ya tukio la ajali ya basi kugona treni iliyotokea hivi karibuni, yamebainika maajabu ya aina yake baada ya mtoto Alhaji Mdoe aliyekuwa amepakatwa na mama yake kukutwa akiwa hai wakati mama yake akiwa amefariki dunia. Soma zaid hapa====>http://bit.ly/1LMsk2c

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA MAJERUHI WA AJALI YA BASI LA LUHUYE WAKIWA HOSPITALI YA RUFAA BUGANDO, MWANZA

Baadhi ya majeruhi katika ajali ya Basi la Luhuye Express iliyotokea juzi Wilaya ya Busega mkoani Simiyu wakipelekwa chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Mwanza. Mpaka sasa watu 16 wamepoteza maisha. Majeruhi wakiwa hospitalini Bgando.…

 

10 years ago

GPL

AJALI YA BASI NA TRENI YAUA 5 NA KUJERUHI 24 WILAYANI KILOSA

WATU watano wamepoteza maisha huku 24 wakijeruhiwa baada ya basi la abiria kuligonga treni lililokuwa linatoka Morogoro – Dodoma leo asubuhi katika eneo la Kibaoni, wilayani Kilosa mkoani Morogoro. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kueleza kuwa ajali hiyo imetokea leo majira ya saa 1 asubuhi na imetokana na uzembe wa dereva wa basi. Naye Mganga Mfawidhi wa Hospitali...

 

10 years ago

Vijimambo

AJALI YATOKEA MKOANI TABORA BAADA YA BASI KUGONGA TRENI

 Ajali imetokea barabara ya kwenda Urambo eneo la Mororo,Tabora ikihusisha treni na basi la abiria. Inasemekana kuna watu wamepoteza maisha kwenye eneo la tukio baada ya gari la abiria kugongana na treni la mizigo, watu waliofariki bado hajafahamika idadi yao kamili waliotambuliwa ni wawili mmoja ni Samweli mkazi wa kata ya Ufuruma wilayani Uyui na Mwingine ni Issa.
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi

 

10 years ago

GPL

AJALI YA BASI LA SUPER ALJABIR KUGONGA TRENI IFAKARA, MAJINA YA MAREHEMU YATAJWA


Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, Leonard L. Paulo-SACP akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani