MOI yafurika majeruhi ajali za bodaboda
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) imesema imekuwa ikipokea asilimia kubwa ya wagonjwa walioumia vichwa na migongo, kutokana na ajali zinazosababishwa na pikipiki.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo01 Nov
MOI: Hatuwakati miguu majeruhi
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/moi-nov1-2014.jpg)
Kwa muda mrefu sasa, umekuwepo uvumi kwamba Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili(MOI), imekuwa ikiwakata viungo majeruhi wa ajali za bodaboda hasa madereva kama njia ya kuwakomesha.
Tuhuma hizo ambazo zimekanushwa vikali na taasisi hiyo, zilidai kuwa kutokana na majeruhi wa pikipiki kuongezeka, madaktari huamua kuwakata viungo kama miguu.
Matokeo yake, ikadaiwa kuwa baadhi ya ndugu na jamaa wa majeruhi hao huamua kuwapeleka majeruhi katika hospitali binafsi.
Hata hivyo, taasisi hiyo ilisema...
9 years ago
Mwananchi27 Aug
Majeruhi wa bodaboda wajaza wodi Muhimbili
10 years ago
Tanzania Daima25 Oct
MOI : Bodaboda huumiza vichwa watu 600 kila mwezi
TAASISI ya Tiba ya Mifupa Muhimbili( MOI), imesema kwa mwezi inapokea wagonjwa 600 walioumia vichwa kutokana na ajali za Pikipiki. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam jana,...
11 years ago
Mwananchi14 Dec
Majeruhi asimulia chanzo cha ajali
10 years ago
Tanzania Daima11 Nov
Majeruhi ajali ya basi na treni wasaidiwa
SERIKALI ya Mkoa wa Morogoro na wadau wengineo wametoa misaada mbalimbali zikiwemo fedha tasilimu kwa majeruhi wa ajali ya basi kugonga treni wanaotibiwa hospitali ya Mt. Francis wilayani hapa. Katika...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar08 Oct
Balozi Seif awafariji majeruhi wa ajali ya gari
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi akimfariji Said Ali Juma mkazi wa Sogea, Unguja aliyelazwa chumba cha wagonjwa mahututi katika Hospitali ya Mnazimmoja, aliyepata ajali ya gari wakati akirejea kwenye mkutano […]
The post Balozi Seif awafariji majeruhi wa ajali ya gari appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Uhuru Newspaper09 Sep
Waliokufa, majeruhi ajali ya basi waanza kutambuliwa
NA LATIFA GANZEL, MOROGORO
MAITI mbili kati ya nne za ajali ya basi la kampuni ya Air Bus iliyotokea juzi wilayani Gairo, zimetambuliwa.
Basi hilo lilipata ajali likiwa safarini kutoka Dar es Salaam kwenda Tabora.
Aidha, majeruhi 30 wa ajali hiyo bado wamelazwa katika hospitali za Berega na ya rufani ya mkoa wa Morogoro, wakipatiwa matibabu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paul, alisema jana ofisini kwake mjini hapa kuwa waliotambuliwa ni Amina Rashid (50), mkulima na mkazi wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcoQOEv6TkmINPuAK5m3lAGGA03liUFLnfjXwqQSM22ezIZfep0H6uNzMS6HZjZcG7a7GweJ1mTWbIdVyLu6kG*l/burudani3.jpg?width=650)
TASWIRA ZA MAJERUHI KATIKA AJALI YA BASI LA BURUDANI, KOROGWE
11 years ago
GPLPICHA ZA KWANZA ZA MAJERUHI KATIKA AJALI YA MAREHEMU TYSON