Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MOI : Bodaboda huumiza vichwa watu 600 kila mwezi

TAASISI ya Tiba ya Mifupa Muhimbili( MOI), imesema kwa mwezi inapokea wagonjwa 600 walioumia vichwa kutokana na ajali za Pikipiki. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam jana,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

MOI yafurika majeruhi ajali za bodaboda

TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) imesema imekuwa ikipokea asilimia kubwa ya wagonjwa walioumia vichwa na migongo, kutokana na ajali zinazosababishwa na pikipiki.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Timka na Bodaboda Vodacom yabadili maisha ya wateja 600

“NI furaha kwa sababu tumetimiza azma yetu ya kubadili maisha ya Watanzania. Promosheni hii imewanufaisha takribani wateja  600 wakiwemo wa bodaboda na wa fedha taslimu zaidi ya  sh milioni 200.”...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tetemeko laua zaidi ya watu 3,600 Nepal

Watu zaidi ya 3,600 wameripotiwa kufa kutokana na tetemeko la ardhi nchini Nepal lililoikumba nchi hiyo Jumamosi

 

9 years ago

Habarileo

Bilioni 19/- kutolewa shuleni kila mwezi

KATIKA kutekeleza mpango wa utoaji elimu bure kwa shule za serikali za msingi na sekondari nchini, Serikali itapeleka moja kwa moja shuleni kutoka Hazina wastani wa Sh bilioni 18.77 kwa kila mwezi.

 

11 years ago

Habarileo

Mamlaka za maji hupoteza bil. 2.5/- kila mwezi

MAMLAKA za Majisafi na Usafi wa Mazingira nchini, zinatajwa kupoteza takribani Sh bilioni 2.5 kila mwezi, kutokana na upotevu mkubwa wa maji yanayozalishwa na mamlaka hizo na ambayo hupotelea njiani kabla ya kufikia watumiaji.

 

5 years ago

Michuzi

WHO: Zaidi ya watu 2,600 wameambukizwa virusi vya corona barani Afrika

Katibu Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema kuwa idadi ya watu walioathiriwa na virusi vya corona barani Afrika imepita watu 2,600.

Tedros Adhanom Ghebreyesus ameviambia vyombo vya habari kwamba, idadi ya watu walioambukizwa virusi vya corona barani Afrika imefikia 2,650 na kwamba wagonjwa wasiopungua 49 miongoni mwao wameaga dunia.

Katibu Mkuu wa Shirika la Afya Duniani amesema kuwa, shirika hilo liko tayari kuzisaidia nchi zote za Afrika na kuongeza kuwa: Nchi zenye mifumo dhaifu ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Janga:Bodaboda zinaua watatu kila siku nchini

Licha ya kutoa ajira kwa maelfu ya vijana wa Kitanzania na pia kupunguza tatizo la usafiri mijini litokanalo na foleni, usafiri wa pikipiki maarufu kama 'bodaboda' umeendelea kuua watu kimyakimya na kuwasababishia ulemavu wa kudumu maelfu ya manusura wa ajali za vyombo hivyo kila uchao.

Uchunguzi uliofanywa na NIPASHE umebaini kuwa mbali na vifo na ulemavu, bodaboda zimeathiri pia utoaji wa huduma katika hospitali zinazopokea majeruhi wa vyombo hivyo, kwani wodi zimefurika kupita kiasi na...

 

10 years ago

Bongo5

Matonya: Sasa hivi kila mwezi na ngoma mpya

Matonya hataki tena kukaa kimya muda mrefu bila kuachia wimbo mpya. Sasa amepanga kuachia ngoma kila mwezi. Akiongea na E-News ya EATV msanii huyo amesema amesikia kilio cha mashabiki wake kuwa wanamiss kazi zake. “Sasa hivi nipo kikazi zaidi, mwanzo nilikuwa nimetingwa na majukumu binafsi na shughuli za hapa na pale,” alisema. “Nashukuru sasa hivi […]

 

11 years ago

Habarileo

Rais aagiza ripoti za mahudhurio ya shule kila mwezi

RAIS Jakaya Kikwete ameagiza wakuu wa shule zote nchini kila mwezi watoe taarifa za mahudhurio ya wanafunzi kwa maofisa Elimu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani