WHO: Zaidi ya watu 2,600 wameambukizwa virusi vya corona barani Afrika
![](https://1.bp.blogspot.com/-cBMpM1U1kDE/XoDwzP0xDYI/AAAAAAALlgM/pdlPChtE8AgihH2aLGOIVCNw_E5ydcytQCLcBGAsYHQ/s72-c/4bv7a3c8b641331m6uv_800C450.jpg)
Katibu Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema kuwa idadi ya watu walioathiriwa na virusi vya corona barani Afrika imepita watu 2,600.
Tedros Adhanom Ghebreyesus ameviambia vyombo vya habari kwamba, idadi ya watu walioambukizwa virusi vya corona barani Afrika imefikia 2,650 na kwamba wagonjwa wasiopungua 49 miongoni mwao wameaga dunia.
Katibu Mkuu wa Shirika la Afya Duniani amesema kuwa, shirika hilo liko tayari kuzisaidia nchi zote za Afrika na kuongeza kuwa: Nchi zenye mifumo dhaifu ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili30 May
Virusi vya corona: Watu 143 wameambukizwa virusi vya corona Kenya
5 years ago
BBCSwahili13 Jun
Virusi vya corona: Changamoto za gharama ya intaneti barani Afrika
5 years ago
BBCSwahili23 Apr
Virusi vya Corona: Wanamichezo barani Afrika wapata maumivu ya kiuchumi
5 years ago
BBCSwahili28 May
Virusi vya corona: Watu 147 zaidi waambukizwa corona Kenya
5 years ago
BBCSwahili10 Apr
Virusi vya corona: Hifadhi nyingi barani Afrika zafungwa kuepuka maambukizi kwa nyani
5 years ago
BBCSwahili08 Apr
Virusi vya Corona: Marekani yarekodi vifo vingi zaidi vya virusi vya corona kwa siku
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-XL3HyK4xcck/XprL1q72lgI/AAAAAAAC3Vg/X_F8bVWII18XW-66RdC5qprmYFk7vXUJACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
WHO: AFRIKA HUENDA IKAATHIRIKA ZAIDI NA VIRUSI VYA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-XL3HyK4xcck/XprL1q72lgI/AAAAAAAC3Vg/X_F8bVWII18XW-66RdC5qprmYFk7vXUJACLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
WHO inabashiri kuwa hali ikiendelea ilivyo sasa, huenda idadi ya vifo ikafikia 300,000 na watu wengine zaidi ya Milioni 30 kuwa masikini.
Kufikia sasa Afrika ina vifo karibu elfu moja vinavyohusishwa na Corona, huku watu zaidi ya elfu 19 wakiambukizwa ugonjwa huo.
Wakati huo huo Shirika la Fedha la Kimataifa, IMF, limetaka Afrika isaidiwe kukabiliana na ugonjwa hatari...
5 years ago
BBCSwahili03 Apr
Virusi vya corona: Zaidi ya watu milioni moja wameathirika duniani
5 years ago
BBCSwahili11 Apr
Virusi vya corona: Je virusi vya corona ni majaribu kiasi gani kwa Afrika?