WHO: AFRIKA HUENDA IKAATHIRIKA ZAIDI NA VIRUSI VYA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-XL3HyK4xcck/XprL1q72lgI/AAAAAAAC3Vg/X_F8bVWII18XW-66RdC5qprmYFk7vXUJACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Shirika la Afya Duniani, WHO, limeonya kwamba bara la Afrika huenda likawa na idadi kubwa ya maambukizi ya virusi vya Corona.
WHO inabashiri kuwa hali ikiendelea ilivyo sasa, huenda idadi ya vifo ikafikia 300,000 na watu wengine zaidi ya Milioni 30 kuwa masikini.
Kufikia sasa Afrika ina vifo karibu elfu moja vinavyohusishwa na Corona, huku watu zaidi ya elfu 19 wakiambukizwa ugonjwa huo.
Wakati huo huo Shirika la Fedha la Kimataifa, IMF, limetaka Afrika isaidiwe kukabiliana na ugonjwa hatari...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili11 May
Virusi vya corona: Jinsi ‘mazishi ya kisiri’ Afrika Kusini huenda ikasaidia kukabiliana na corona
5 years ago
BBCSwahili22 May
Virusi vya corona: Huenda Afrika iliyachelewesha maambukizi lakini haikuyadhibiti
5 years ago
BBCSwahili22 Apr
Virusi vya corona: Wimbi la pili la maambukizi Marekani 'huenda likawa hatari zaidi'
5 years ago
BBCSwahili14 May
Virusi vya corona: Shirika la Afya Duniani lasema huenda virusi vya corona visiishe
5 years ago
BBCSwahili08 Apr
Virusi vya Corona: Marekani yarekodi vifo vingi zaidi vya virusi vya corona kwa siku
5 years ago
BBCSwahili17 Apr
Virusi ya corona: Afrika huenda ikawa kitovu kipya cha mlipuko wa corona - yaonya WHO
5 years ago
BBCSwahili05 May
Virusi vya corona: Mnyama aliyesambaza corona huenda asijulikane
5 years ago
BBCSwahili14 Jun
Virusi vya corona: Je unajua ugonjwa wa corona huenda ulianza mapema mno?
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-cBMpM1U1kDE/XoDwzP0xDYI/AAAAAAALlgM/pdlPChtE8AgihH2aLGOIVCNw_E5ydcytQCLcBGAsYHQ/s72-c/4bv7a3c8b641331m6uv_800C450.jpg)
WHO: Zaidi ya watu 2,600 wameambukizwa virusi vya corona barani Afrika
![](https://1.bp.blogspot.com/-cBMpM1U1kDE/XoDwzP0xDYI/AAAAAAALlgM/pdlPChtE8AgihH2aLGOIVCNw_E5ydcytQCLcBGAsYHQ/s640/4bv7a3c8b641331m6uv_800C450.jpg)
Tedros Adhanom Ghebreyesus ameviambia vyombo vya habari kwamba, idadi ya watu walioambukizwa virusi vya corona barani Afrika imefikia 2,650 na kwamba wagonjwa wasiopungua 49 miongoni mwao wameaga dunia.
Katibu Mkuu wa Shirika la Afya Duniani amesema kuwa, shirika hilo liko tayari kuzisaidia nchi zote za Afrika na kuongeza kuwa: Nchi zenye mifumo dhaifu ya...