Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matonya: Sasa hivi kila mwezi na ngoma mpya

Matonya hataki tena kukaa kimya muda mrefu bila kuachia wimbo mpya. Sasa amepanga kuachia ngoma kila mwezi. Akiongea na E-News ya EATV msanii huyo amesema amesikia kilio cha mashabiki wake kuwa wanamiss kazi zake. “Sasa hivi nipo kikazi zaidi, mwanzo nilikuwa nimetingwa na majukumu binafsi na shughuli za hapa na pale,” alisema. “Nashukuru sasa hivi […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Cyrill adai video na ngoma kali sio kila kitu kwa muziki wa sasa

kamikaze

Staa wa muziki Cyrill Kamikaze, amesema muziki wa sasa sio tu kufanya video kali na ngoma kali ili uweze kutoboa, bali unahitaji kutumia ubunifu zaidi kukidhi viwango vyenye ubora na kufikia soko la kimataifa.

kamikaze

Rapper huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Afica Radio kuwa watu wengi wanafikiri ukiwa na video nzuri ndio unafanikiwa.

“Unaweza ukawa na video kali halafu usihit, muziki ni zaidi ya chupa kali, ukirudishwa miaka fulani nyuma, ngoma kali ndio ilikuwa inahit, lakini sasa...

 

10 years ago

Vijimambo

HAPO SASA MPAKA KIELEWEKE NGOMA UWANJANI KILA MTU NA KAULI MBIU YAKE KICHWANI

Mbio za urais 2015 kama kujiandikisha elimu ya shule ya msingi vile safari hii, ni kwanini imekuwa hivi unafikiri hawa wote wana uchungu na nchi yao au ni kwa ajili ya maslahi binafsi ndani ya viunga vywa Ikulu.

 

10 years ago

CloudsFM

Tundaman,Matonya wamaliza ‘bifu’,kufanya ngoma pamoja.

Lile bifu la wasanii wa Bongo Fleva,Tundaman na Matonya lililodumu kwa muda wa miaka nane limemalizwa leo kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM. Tundaman ndiye aliyekuwa wa kwanza kuingia kwenye kipindi ambapo leo alikuwa akizungumza na mashabiki wake na kuitambulisha ngoma yake mpya iitwayo ‘Achana na Mimi’ ambapo mtangazaji wa kipindi hicho,Husna Abdul alimuuza kuhusiana na bifu na Matonya alisema hana tatizo naye.
Ndipo Husna alipomuuliza kuwa kama akitokea Matonya kwa muda huo...

 

11 years ago

Michuzi

TAHADHARI: AINA MPYA YA UHALIFU MTANDAO INAYO ENDELEA KUKUA KWA KASI HIVI SASA.

Wahalifu mtandao wameendelea kubuni aina mpya za kufanikisha uhalifu wa mitandao hasa katika makampuni. Hili limeonekana kushika kasi katika maeneo mbali mbali na limeingia katika mijadala na kuwa ni moja ya maswala yaliyo onekana yana haja kufikiswhwa kwa jamii ili kuendelea kukuza uelewa wa makosa mtandao. Kwanza kabisa, Faili lolote ambalo linasomeka na kiambatanishi .exe mfano: umoja.exe nifaili ambalo limedhamiriwa kuingizwa kuwa ni moja ya program za komputa hivyo kabla ya kubonyeza...

 

10 years ago

Bongo5

Matonya ataja sababu za kwanini ngoma zake hazihit kama zamani

Matonya amesema sababu kubwa iliyomfanya apotee kwenye muziki na nyimbo zake za sasa kutofanya vyema kama mwanzo ni kukosa uongozi mzuri wa kumsimamia. Matonya ameambia Bongo5 kuwa muziki wa sasa hivi upo tafauti na ule wa zamani uliokuwa hauhitaji mambo mengi kama muziki wa sasa. “Tatizo kubwa kadri siku zinapozidi kwenda wasanii tunazidi kuwa wengi, […]

 

11 years ago

Mwananchi

Kila mwamba ngoma akivutia kwake, mwisho ngoma hupasuka

Vijana hawakati tamaa. Baada ya kuandika maneno yote yale wiki jana, huyu kijana ameona sasa njia ya kufuatilia ni kuandika kila wakati.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani