Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kila mwamba ngoma akivutia kwake, mwisho ngoma hupasuka

Vijana hawakati tamaa. Baada ya kuandika maneno yote yale wiki jana, huyu kijana ameona sasa njia ya kufuatilia ni kuandika kila wakati.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Matonya: Sasa hivi kila mwezi na ngoma mpya

Matonya hataki tena kukaa kimya muda mrefu bila kuachia wimbo mpya. Sasa amepanga kuachia ngoma kila mwezi. Akiongea na E-News ya EATV msanii huyo amesema amesikia kilio cha mashabiki wake kuwa wanamiss kazi zake. “Sasa hivi nipo kikazi zaidi, mwanzo nilikuwa nimetingwa na majukumu binafsi na shughuli za hapa na pale,” alisema. “Nashukuru sasa hivi […]

 

10 years ago

Bongo5

Kama ingefeli, ‘Pesa’ ingekuwa ngoma ya mwisho ya Mr Blue, alipanga kutimkia Ulaya

Huenda Mr Blue asingesikika tena kwenye muziki kutokana na maisha kwenda kombo na kwamba ‘Pesa’ ingekuwa ngoma yake ya mwisho. Akizungumza kwenye kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV, rapper huyo alidai kuwa kama ngoma yake ‘Pesa’ ingebuma, angeachana kabisa na muziki na kuzamia Ulaya. “Pesa kama Pesa ilikuwa ni project yangu ya mwisho,” alisema […]

 

10 years ago

Vijimambo

NGOMA, NGOMA, NGOMA OYEEEE…

Kitoto ni ngoma ya Kusini, Tanzania. Kitoto kwangu ni mashangilizi ya ngoma na utamaduni wa Mwafrika.
Hizi ni baadhi ya shughuli ambazo mwana Kitoto hufanya ughaibuni. Usiku na mchana. Ninazionea fahari…Miaka mingi wengi wameniuliza watakujaje Majuu. Njia nzuri na rahisi sana ni kufanya mambo ya kwetu. Ngoma ni kitu kinachopendwa na wageni maana ni uhalisia na asili ya Mwafrika.
Juu hapa wanaonekana wanamuziki wawili wa Kitanzania wanaoishi Uingereza. Saidi Kanda na Fab Moses. Fab Moses...

 

10 years ago

Bongo5

Noorah: Nilikata tamaa ya kuachia nyimbo baada ya ngoma mbili kali za mwisho kuchukuliwa poa

Rapper Noorah aka Babastylez amedai kuwa sababu iliyomkatisha tamaa kuendelea kuachia nyimbo ni kuchukuliwa poa kwa ngoma zake mbili za mwisho alizozitoa ambazo yeye aliamini ni kali na zilistahili kufanya vizuri. “Kuna nyimbo mbili tatu nilizitoa zilikuwa kali sana kama ‘Chambervement’ niliyomshirikisha marehemu Magwair na ‘Mapenzi Sinema’ niliyomshirikisha Dataz, hazikufika katika kiwango ambacho zilistahili kufika […]

 

9 years ago

Bongo5

Cyrill adai video na ngoma kali sio kila kitu kwa muziki wa sasa

kamikaze

Staa wa muziki Cyrill Kamikaze, amesema muziki wa sasa sio tu kufanya video kali na ngoma kali ili uweze kutoboa, bali unahitaji kutumia ubunifu zaidi kukidhi viwango vyenye ubora na kufikia soko la kimataifa.

kamikaze

Rapper huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Afica Radio kuwa watu wengi wanafikiri ukiwa na video nzuri ndio unafanikiwa.

“Unaweza ukawa na video kali halafu usihit, muziki ni zaidi ya chupa kali, ukirudishwa miaka fulani nyuma, ngoma kali ndio ilikuwa inahit, lakini sasa...

 

10 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND YAITAKIA MSONDO NGOMA BAND HERI YA MIAKA 50 !

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya, The  Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni almarufu pia kama viumbe wa ajabu Anunnaki Aliens wenye makao nchi Ujerumani, inatuma salamu na saluti za kuitakia heri ya miaka 50 bendi kongwe barani afrika MSONDO NGOMA MUSIC BAND aka Baba ya Muziki ya watanzania ambayo mwezi Oktoba 2014 itatimiza miaka 50 na kuweka rekodi ya kuwa bendi kongwe pekee barani Afrika ! 
Kiongozi wa Ngoma Africa band Kamanda Ras Makunja, anaitaja bendi ya Msondo Ngoma ndiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

HAPO SASA MPAKA KIELEWEKE NGOMA UWANJANI KILA MTU NA KAULI MBIU YAKE KICHWANI

Mbio za urais 2015 kama kujiandikisha elimu ya shule ya msingi vile safari hii, ni kwanini imekuwa hivi unafikiri hawa wote wana uchungu na nchi yao au ni kwa ajili ya maslahi binafsi ndani ya viunga vywa Ikulu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani