NGOMA AFRICA BAND YAITAKIA MSONDO NGOMA BAND HERI YA MIAKA 50 !
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya, The Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni almarufu pia kama viumbe wa ajabu Anunnaki Aliens wenye makao nchi Ujerumani, inatuma salamu na saluti za kuitakia heri ya miaka 50 bendi kongwe barani afrika MSONDO NGOMA MUSIC BAND aka Baba ya Muziki ya watanzania ambayo mwezi Oktoba 2014 itatimiza miaka 50 na kuweka rekodi ya kuwa bendi kongwe pekee barani Afrika !
Kiongozi wa Ngoma Africa band Kamanda Ras Makunja, anaitaja bendi ya Msondo Ngoma ndiyo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMsondo Ngoma Music Band (Tanzania) Oldest band in Africa

11 years ago
Michuzi
SALAM ZA HERI YA MIAKA 50 YA MUUNGANO KUTOKA NGOMA AFRICA BAND

ZIDUMU FIKRA ZA WAASISI WA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR = TANZANIA
UDUMU UMOJA WA KITAIFA
UDUMU...
10 years ago
Michuzi.jpg)
NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA MIAKA 53 YA UHURU wa Tanzania
.jpg)
11 years ago
GPL
SALAMU ZA HERI YA MIAKA 50 YA MUUNGANO KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
10 years ago
Vijimambo11 Jan
HERI YA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KUTOKA NGOMA AFRICA BAND


10 years ago
Michuzi.jpg)
HERI YA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KUTOKA NGOMA AFRICA BAND, UJERUMANI
.jpg)
10 years ago
Vijimambo
SALAMU ZA HERI YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANZANIA,KUTOKA NGOMA AFRICA BAND

sherekea muungano kwa muziki at www.ngoma-africa.com
10 years ago
Michuzi.jpg)
NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA MIAKA 53 YA UHURU Tanzania Bara (Tanganyika)
.jpg)
10 years ago
Vijimambo
NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA MIAKA 53 YA UHURU Tanzania Bara (Tanganyika
