HERI YA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KUTOKA NGOMA AFRICA BAND, UJERUMANI
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni yenye makao yake nchi ujerumani,inawatakia kila heri na fanaka wadau wote katika kuadhimisha miaka 51 ya mapinduzi ya Zanzibar,mapinduzi yaliyofanyika 12 Januari 1964 ambayo yaliwakomboa Wanzibari kutoka katika makucha ya Sultan,Mapinduzi yaliyomng'oa Sultan hadi kusahau kilemba kitandani.Tunawapongeza Wanzabari katika kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu. Amani,Upendo ,Umoja na mshikamano ndio msingi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo11 Jan
HERI YA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
10 years ago
GPLSALAMU ZA HERI YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
11 years ago
MichuziSALAM ZA HERI YA MIAKA 50 YA MUUNGANO KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
ZIDUMU FIKRA ZA WAASISI WA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR = TANZANIA
UDUMU UMOJA WA KITAIFA
UDUMU...
11 years ago
GPLSALAMU ZA HERI YA MIAKA 50 YA MUUNGANO KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
10 years ago
VijimamboSALAMU ZA HERI YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANZANIA,KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
sherekea muungano kwa muziki at www.ngoma-africa.com
10 years ago
MichuziNGOMA AFRICA BAND YAITAKIA MSONDO NGOMA BAND HERI YA MIAKA 50 !
Kiongozi wa Ngoma Africa band Kamanda Ras Makunja, anaitaja bendi ya Msondo Ngoma ndiyo...
10 years ago
MichuziNGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA MIAKA 53 YA UHURU wa Tanzania
10 years ago
VijimamboHERI YA MWAKA MPYA 2015 KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
11 years ago
MichuziSALAM ZA HERI YA "MEI MOSI" KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
Tafadhali pata burudani ya muziki at www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com
www.facebook.com/ngomaafricaband