SALAMU ZA HERI YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
Ngoma Africa Band a.k.a FFU ikiwa kazini. BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya, Ngoma Africa Band a.k.a FFU-Ughaibuni yenye makao yake nchini Ujerumani inawatakia kila la heri Watanzania wote walio nyumbani na nje heri na baraka, amani, mshikamano na upendo katika maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamuhuri yetu ya Muungano wa Tanzania. Tudumishe Muungano wetu daima...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLSALAMU ZA HERI YA MIAKA 50 YA MUUNGANO KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
10 years ago
VijimamboSALAMU ZA HERI YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANZANIA,KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
sherekea muungano kwa muziki at www.ngoma-africa.com
11 years ago
MichuziSALAM ZA HERI YA MIAKA 50 YA MUUNGANO KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
ZIDUMU FIKRA ZA WAASISI WA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR = TANZANIA
UDUMU UMOJA WA KITAIFA
UDUMU...
10 years ago
Vijimambo11 Jan
HERI YA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
10 years ago
MichuziHERI YA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KUTOKA NGOMA AFRICA BAND, UJERUMANI
10 years ago
MichuziNGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA MIAKA 53 YA UHURU Tanzania Bara (Tanganyika)
10 years ago
VijimamboNGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA MIAKA 53 YA UHURU Tanzania Bara (Tanganyika
10 years ago
VijimamboSALAMU ZA HERI YA MEI MOSI ,KUTOKA NGOMA AFRICA BAND AKA FFU
TUZIDISHE JUHUDI KAZINI ! KAZI NI KAZI
Sherehekea MEI MOSI kwa muziki at www.ngoma-africa.com
10 years ago
MichuziNGOMA AFRICA BAND YAITAKIA MSONDO NGOMA BAND HERI YA MIAKA 50 !
Kiongozi wa Ngoma Africa band Kamanda Ras Makunja, anaitaja bendi ya Msondo Ngoma ndiyo...