SALAMU ZA HERI YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANZANIA,KUTOKA NGOMA AFRICA BAND

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni yenye makao yake nchini ujerumani inawatakia kila la heri watanzania wote walio nyumbani na nje ,Heri ba na baraka, Amani,Mshikamano na Upendo katika maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamuhuri yetu ya muungano wa Tanzania.Tudumishe Muungano wetu daima millele.Mungu Ibaraki Tanzania
sherekea muungano kwa muziki at www.ngoma-africa.com
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
SALAMU ZA HERI YA MIAKA 50 YA MUUNGANO KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya, NGOMAÂ AFRICA a.k.a FFU Ughaibuni, yenye makao yake nchini Ujerumani, inaungana na Watanzania wote nyumbani na ughaibuni katika kusherehekea MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA. Ngoma Africa Band inatoa salamu za heri na shangwe kwa Watanzania wote popote duniani. ZIDUMU FIKRA ZA WAASISI WA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR =...
10 years ago
GPL
SALAMU ZA HERI YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
Ngoma Africa Band a.k.a FFU ikiwa kazini. BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya, Ngoma Africa Band a.k.a FFU-Ughaibuni yenye makao yake nchini Ujerumani inawatakia kila la heri Watanzania wote walio nyumbani na nje heri na baraka, amani, mshikamano na upendo katika maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamuhuri yetu ya Muungano wa Tanzania. Tudumishe Muungano wetu daima...
11 years ago
Michuzi
SALAM ZA HERI YA MIAKA 50 YA MUUNGANO KUTOKA NGOMA AFRICA BAND

ZIDUMU FIKRA ZA WAASISI WA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR = TANZANIA
UDUMU UMOJA WA KITAIFA
UDUMU...
10 years ago
Vijimambo
SALAMU ZA HERI YA MEI MOSI ,KUTOKA NGOMA AFRICA BAND AKA FFU

TUZIDISHE JUHUDI KAZINI ! KAZI NI KAZI
Sherehekea MEI MOSI kwa muziki at www.ngoma-africa.com
10 years ago
Vijimambo11 Jan
HERI YA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KUTOKA NGOMA AFRICA BAND


10 years ago
Michuzi.jpg)
HERI YA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KUTOKA NGOMA AFRICA BAND, UJERUMANI
.jpg)
10 years ago
Michuzi.jpg)
NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA MIAKA 53 YA UHURU wa Tanzania
.jpg)
11 years ago
MichuziNGOMA AFRICA BAND YAITAKIA MSONDO NGOMA BAND HERI YA MIAKA 50 !

Kiongozi wa Ngoma Africa band Kamanda Ras Makunja, anaitaja bendi ya Msondo Ngoma ndiyo...
10 years ago
Michuzi.jpg)
NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA MIAKA 53 YA UHURU Tanzania Bara (Tanganyika)
.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania