Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tundaman,Matonya wamaliza ‘bifu’,kufanya ngoma pamoja.

Lile bifu la wasanii wa Bongo Fleva,Tundaman na Matonya lililodumu kwa muda wa miaka nane limemalizwa leo kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM. Tundaman ndiye aliyekuwa wa kwanza kuingia kwenye kipindi ambapo leo alikuwa akizungumza na mashabiki wake na kuitambulisha ngoma yake mpya iitwayo ‘Achana na Mimi’ ambapo mtangazaji wa kipindi hicho,Husna Abdul alimuuza kuhusiana na bifu na Matonya alisema hana tatizo naye.
Ndipo Husna alipomuuliza kuwa kama akitokea Matonya kwa muda huo...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Matonya: Tundaman aliniibia hela zangu benki

Matonya na Tundaman wameingia kwenye vita vya maneno. Ugomvi huo umeanza baada ya Tundaman kudai kuwa alimtungia wimbo Matonya kwenye album yake ya Vailet. Akiongea kwenye 255 ya XXL kupitia Clouds FM jana, Matonya alikanusha taarifa hiyo na kwamba Matonya hana uwezo wa kumtungia wimbo kwakuwa uimbaji wao upo tofauti kabisa. “Nilikuwa naenda na Tunda […]

 

10 years ago

GPL

MADEE, NAY WAMALIZA BIFU

Na Musa Mateja WASANII waliokuwa wakipigania cheo cha urais wa Manzese, Hamad Ally ‘Madee’, na Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, hatimaye wamemaliza tofauti zao baada ya kudumu kwenye bifu kwa muda mrefu. Mkali wa Bongo fleva,Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’. Ishu hiyo imejidhihirisha kwenye mbio za Serengeti Fiesta 2013, ambapo muda mwingi wamekuwa wakishirikiana kwenye kazi zao za...

 

10 years ago

Mtanzania

Ludacris, Drake wamaliza bifu lao

Luda na DrackNA BADI MCHOMOLO
NYOTA wa Hip Hop nchini Marekani, Christopher Brian ‘Ludacris’ na mkali kutoka kundi la Young Money, Aubrey Drake, wamemaliza ugomvi wao wa miaka mitano.
“Binadamu hatujakamilika, mimi na Drake tulikuwa na mambo yetu, akiwa kama binadamu alikuja kwangu na kuomba msamaha tumeyamaliza.
“Tulikuwa na mgogoro kwa kipindi cha miaka mitano, halikuwa jambo zuri na ndio maana kila kitu kipo sawa kwa sasa.
“Vijana wengi hawapendi kukubali kosa, lakini mtu mwenye akili timamu anatakiwa...

 

11 years ago

GPL

JINI KABULA, ISABELA WAMALIZA BIFU

Stori: Gladness Mallya PEACE! Baada ya wasanii wawili waliokuwa wanaunda Kundi la Scorpion Girls, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ na Isabela Mpanda kuwa kwenye bifu kwa miezi kadhaa, hatimaye wamepatana. Wasanii wawili waliokuwa wanaunda Kundi la Scorpion Girls, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ na Isabela Mpanda wakiwa kwenye picha ya pamoja. chanzo makini ambacho ni rafiki wa karibu na wasanii hao kikizungumza...

 

10 years ago

CloudsFM

DAVIDO,WIZKID WAMALIZA BIFU LAO

Mastaa wa nchini Nigeria,Davido na Wizkid wanaida kumaliza bifu lao lililodumu kwa miezi kadhaa la kutupiana vijembe kwenye mitandao na interview kadha walizofanyiwa.

Wiz na Davido wamekutana ndani ya Escape Night Club iliyopo Ilorin huko Nigeria na picha zinaonyesha wakiwa kama washkaji

 

9 years ago

Global Publishers

Olamide na Don Jazzy wamaliza bifu lao kimyakimya

donDon Jazzy na Olamide wakipeana mikono.

HABARI ya ‘mujini’ mwaka huu kwa wapenda muziki nchini Nigeria na kwengineko duniani ni kumalizika kwa bifu la muda mrefu kati ya maprodyuza  wakubwa,  Olamide na Don Jazzy.  Baada ya wawili hao kutokea katika picha wakiwa wameshikana mikono, mashabiki wamebaki kujiuliza ni wapi walipolimalizia ugomvi wao wa muda mrefu?.

Katika picha hiyo kulikuwa na maandishi yaliyowaomba msamaha mashabiki wao kwa bifu lililokuwepo na kwamba wajibu wao ni kuongoza...

 

9 years ago

GPL

MEEK MILL NA DRAKE WAMALIZA BIFU LAO RASMI

New York, Marekani WAKALI wa muziki wa Hip Hop kutoka Marekani, Robert Williams ‘Meek Mill’ na Aubrey Graham ‘Drake’ waliokuwa kwenye bifu kali kiasi cha kupigana vijembe kwenye mashairi, mitandao ya kijamii, vyombo vya habari na kwenye matamasha yao limekwisha rasmi. Wakali wa muziki wa Hip Hop kutoka Marekani, Robert Williams ‘Meek Mill’ na Aubrey Graham ‘Drake’ wakishikana...

 

10 years ago

Bongo5

Matonya: Sasa hivi kila mwezi na ngoma mpya

Matonya hataki tena kukaa kimya muda mrefu bila kuachia wimbo mpya. Sasa amepanga kuachia ngoma kila mwezi. Akiongea na E-News ya EATV msanii huyo amesema amesikia kilio cha mashabiki wake kuwa wanamiss kazi zake. “Sasa hivi nipo kikazi zaidi, mwanzo nilikuwa nimetingwa na majukumu binafsi na shughuli za hapa na pale,” alisema. “Nashukuru sasa hivi […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani