Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BIFU KALI LALIPUKA KATI YA LADY JAYDEE NA MATONYA....HATIMAYE MATONYA AMPA UJUMBE HUU JIDE

credit:Thechoice

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Tundaman,Matonya wamaliza ‘bifu’,kufanya ngoma pamoja.

Lile bifu la wasanii wa Bongo Fleva,Tundaman na Matonya lililodumu kwa muda wa miaka nane limemalizwa leo kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM. Tundaman ndiye aliyekuwa wa kwanza kuingia kwenye kipindi ambapo leo alikuwa akizungumza na mashabiki wake na kuitambulisha ngoma yake mpya iitwayo ‘Achana na Mimi’ ambapo mtangazaji wa kipindi hicho,Husna Abdul alimuuza kuhusiana na bifu na Matonya alisema hana tatizo naye.
Ndipo Husna alipomuuliza kuwa kama akitokea Matonya kwa muda huo...

 

10 years ago

GPL

MATONYA AMVAA JAYDEE, KISA PICHA YA UDHALILISHAJI

Stori: Musa mateja/Risasi
STAA aliyewahi kukamata vilivyo kwenye anga ya muziki wa Bongo Fleva, Shabani Ramadhani ‘Matonya’ ameibuka na kumvaa mwanadada Judith Wambura ‘Jide au Lady Jaydee’ akidai amemdhalilisha kwa mashabiki wake. Staa aliyewahi kukamata vilivyo kwenye anga ya muziki wa Bongo Fleva, Shabani Ramadhani ‘Matonya’ Akizungumza na mwanahabari wetu, Matonya alisema anamtafuta...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Matonya – Jella

Tonya

Matonya ameachia wimbo unaitwa “Jella”, Wimbo huu umetaarishwa na Producer Sheddy Clever kutoka studio za Burn Records.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Video: Matonya – Homa ya Jiji

matonya

Video mpya ya kutoka kwa Msanii wa Bongo Fleva Matonya wimbo unaitwa “Homa ya Jiji”. Video imeongozwa na Tonee Blaze

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

Video: Sana Black Ft Matonya — Mama

Video mpya ya msanii Sana Black akimshirikisha Matonya wimbo unaitwa “Mama” video imeongozwa na Tonee Blaze Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Tunda Man aulilia msamaha wa Matonya

Matonya na Tunda Man

Tunda Man amedai yupo tayari kumpigia magoti Matonya ili wamalize tofauti zao zilizodumu kwa kipindi kirefu.

Matonya na Tunda Man

Muimbaji huyo ambaye ameachia wimbo mpya, Mama Kijacho hivi karibuni, amekiambia kipindi cha Friday Night Live cha EATV kuwa ameshachoshwa na kusikia kuhusu masuala ya kutoelewana.

“Nilimpigia simu akanitukana matusi mengi sana mpaka leo sipati jibu kwanini,” alisema. “Nilimpigia simu ili nijue tunafanyaje kuhusu video ya wimbo tuliofanya pamoja kwa sababu kuna sehemu nilipita...

 

10 years ago

Africanjam.Com

10 years ago

Bongo5

Matonya: Tundaman aliniibia hela zangu benki

Matonya na Tundaman wameingia kwenye vita vya maneno. Ugomvi huo umeanza baada ya Tundaman kudai kuwa alimtungia wimbo Matonya kwenye album yake ya Vailet. Akiongea kwenye 255 ya XXL kupitia Clouds FM jana, Matonya alikanusha taarifa hiyo na kwamba Matonya hana uwezo wa kumtungia wimbo kwakuwa uimbaji wao upo tofauti kabisa. “Nilikuwa naenda na Tunda […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: Tunda Man & Matonya – Ugomvi

Huu ni wimbo mpya unaitwa “Ugomvi” wasanii Tunda Man na Matonyo. Studio Chaiderz Records Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani