Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: Sana Black Ft Matonya — Mama

Video mpya ya msanii Sana Black akimshirikisha Matonya wimbo unaitwa “Mama” video imeongozwa na Tonee Blaze Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JB: NILILELEWA ‘KI-MAMA’ MAMA SANA!

Msanii nguli kwa sasa katika tasnia ya filamu Bongo, Jacob Steven Mbura ‘JB’. MKONO mmoja ulikuwa shavuni nikiendelea kusoma kitabu kipya cha ujasiriamali kilichoandikwa na mhamasishaji nguli barani Afrika wa watu kujikomboa na umasikini, Eric Shigongo kiitwacho Jinsi ya Kutoka Kwenye Umasikini Hadi Mafanikio kinachopatikana mitaani kwa bei nafuu, nikiinua kichwa mara kwa mara na kuangaza macho huku na kule...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Matonya – Homa ya Jiji

matonya

Video mpya ya kutoka kwa Msanii wa Bongo Fleva Matonya wimbo unaitwa “Homa ya Jiji”. Video imeongozwa na Tonee Blaze

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

RAY C: MAMA’ANGU ANAUMWA SANA

Musa Mateja
STAA wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’, ambaye anatumia dozi ya kumwezesha kuacha matumizi ya madawa ya kulevya, amesema kuwa mama yake mzazi yu mgonjwa sana, akisumbuliwa na maumivu makali, Ijumaa Wikienda lina mkasa kamili. Mama mzazi wa Ray C, Margaret Mtweve. Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, staa huyo alisema kwa zaidi ya siku tatu mfululizo, mama yake alishindwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani