RAY C: MAMA’ANGU ANAUMWA SANA

Musa Mateja STAA wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’, ambaye anatumia dozi ya kumwezesha kuacha matumizi ya madawa ya kulevya, amesema kuwa mama yake mzazi yu mgonjwa sana, akisumbuliwa na maumivu makali, Ijumaa Wikienda lina mkasa kamili. Mama mzazi wa Ray C, Margaret Mtweve. Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, staa huyo alisema kwa zaidi ya siku tatu mfululizo, mama yake alishindwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
JB: NILILELEWA ‘KI-MAMA’ MAMA SANA!
10 years ago
GPL
RAY CHUNGA SANA HIYO BASTOLA YAKO BROO!
10 years ago
Vijimambo
RAY KIGOSI AWASTUA KISHAPU, AWAAMBIA UPINZANI BADO SANA

10 years ago
Vijimambo
RAY KIGOSI AWAAMBIA WAKAZI WA KISHAPU SHINYANGA UPINZANI BADO SANA

10 years ago
Bongo Movies25 Jan
Irene Uwoya:Siku Zote Niatamuheshimu Ray, Ni Mtu Muhimu Sana Kwangu
‘Shukrani’ ni kitu muhimu na ni jambo jema sio hapa dunia tu hata huko mbinguni (Kwa wanoamini), ni vyema kumshuru Mungu kwa kila jambo na vile vile kuwashukuru watu ambao kwa namna moja au nyingine wamekusaidia kufikia hapo ulipo.
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Irene Uwoya amekuwa sio mchoyo wa fadhira kwa kumshukuru hadharani muongozaji na mwigizaji wa filamu Vicent Kigosi ‘Ray’ kwa kuwa ni moja ya watu waliomsaidia katika sanaa.
Kupitia ukurasa wake wa kwenye mtandao wa INSTAGRAM,...
11 years ago
GPL
MAMA JOHARI AMFUMUA RAY
10 years ago
Bongo521 Jul
Video: Sana Black Ft Matonya — Mama
11 years ago
GPL
MAMA KANUMBA AFICHUA MAZITO YA RAY, MWANAYE
10 years ago
VijimamboHONGERA SANA MAMA MATRIDA MKAMA KWA KUJINYAKULIA NONDO