RAY KIGOSI AWAAMBIA WAKAZI WA KISHAPU SHINYANGA UPINZANI BADO SANA
Na Mwandishi WetuMsanii Nguli wa filamu nchini, Ray Kigosi, amewaambia watanzania leokuwa makini na kusikiliza sera na kuachana na mihemko ya kisiasa itakayopelekea wao kufanya maamuzi watakayoyajutia baadae.Kigosi ameyasema hayo alipokuwa katika moja ya mikutano inayoendeshwa na kundi la wasanii lenye kauli mbiu ya Nimestuka, katika jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, ikiwa ni sehemu ya ziara ya kundi hilo inayopita kijiji kwa kijiji katika kuhakikisha kwamba wanawaelimisha vijana wenzao...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboRAY KIGOSI AWASTUA KISHAPU, AWAAMBIA UPINZANI BADO SANA
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.
Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.
Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.
Unahisi nani ataibuka kidedea...
10 years ago
VijimamboRAY KIGOSI ATOA SABABU INAYOMFANYA ASHINDWE KUOA HADI SASA
Staa mkongwe wa filamu za Bongo, Vincent “Ray” Kigosi ametoa sababu ya kuendelea kuwa single licha ya kuwa anaendelea kuongeza idadi ya birthday alizosheherekea toka kuzaliwa kwake.
Akizungumza na gazeti la Ijumaa katika mahojiano maalum, Ray alisema amekuwa akipangua mawazo ya kuoa kila wakati kutokana na ugumu wa kumpata mwanamke ambaye hatampa stress kama zinazowapata baadhi ya watu.Alisema, kwa kuwa suala la kuoa ni jambo nyeti, halihitaji kukurupuka na hicho ndicho kimemfanya mpaka leo...
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
Snura awaambia wako nyuma sana
MWANADADA anayetamba katika muziki wa mduara, Snura Mushi ‘Snura’ au ‘Mamaa Majanga’ amesambaza kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Uko Nyuma Sana’. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Snura...
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Leo ni birthday ya mwigizaji Vicenti Kigosi ray, Johari ampa salamu tata, isome hapa
Leo mwigizaji maarufu nchini Vicent kigosi - Ray anasherehehea siku yake ya kuzaliwa huku akipata salamu mbalimbali za pongezi toka kwa mastaa mbalimbali nchini.
Moja ya watu wa kwanza kwanza kumpa salamu hiyo ni swahiba na rafiki yake mkubwa, JB akifuatiwa na mpenzi wake wa zamani Johari ambaye salamu yake inadaiwa na wachunguzi wa mambo kuwa ni kwa namna flani inamponda mpenzi wa sasa wa Ray , Chuchu hans, kutokana na maneno yaliyotumika ya salamu hiyo ambayo Johari anadaiwa kuwahi...
9 years ago
CCM BlogNAPE AWAAMBIA WANA MASASI KULIPELEKA JIMBO UPINZANI NI KULIWEKA REHANI
11 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA SHINYANGA AKUTANA NA WAFUGAJI KUZUNGUMZIA MGOGORO KISHAPU NA IGUNGA
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Ally N. Rufunga amewataka wafugaji wanaoishi katika kijiji cha Magalata wilayani Kishapu mkoani Shinyanga kutovuka mto Manonga na kuingia katika wilaya ya Igunga wakati serikali inashughulikia suala la mpaka wa wilaya hizo mbili.
Mhe Rufunga ametoa maelekezo mapema jana alipokutana na wafugaji hao katika kijiji cha Magalata wilayani Kishapu, ikiwa ni moja ya makubaliano ya kikao cha Kamati za ulinzi na usalama za mikoa ya Tabora na Shinyanga kuwa kila...
10 years ago
MichuziWAKUU WA WILAYA ZA KISHAPU NA SHINYANGA WATEMBELEA MABANDA YA WAJASIRIAMALI MAONESHO YA SIDO KANDA YA ZIWA
Hapa ni katika banda la Chuo cha...
10 years ago
MichuziWAKAZI WA SHINYANGA WAKUNWA NA UJIO WA TAMASHA LA FIESTA,LEO KUSAMBAZA UPENDO KWA WAKAZI WA GEITA