Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAY CHUNGA SANA HIYO BASTOLA YAKO BROO!

WAKATI mwingine kazi yetu hii ni ya lawama, kwa sababu kuna wakati unalazimika kuandika kitu cha kweli kuhusu rafiki, ndugu au jamaa yako, lakini ukijua fika hatakipenda na huenda, ikaweza hata kuharibu uhusiano wenu. Vicent Kigosi maarufu kama Ray, ni mmoja wa watu ambao nimewahi kuwa naye karibu kikazi, kiasi kwamba tulijenga aina flani ya ushkaji, ingawa ukaribu wetu kwa miaka ya karibuni umedorora kutokana na wakati, kwani...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TID CHUNGA SANA ISHU ZA UBABEUBABE!

KWAKO mkali wa Bongo Fleva, Khaleed Mohamed ‘TID’ mambo vipi mzee? Kitambo kidogo sijakutia machoni. Mara nyingi nakuona kupitia vyombo vya habari. Naamini u-mzima wa afya.Ukitaka kujua hali yangu, mimi pia sijambo naendelea na mishemishe za mjini si unajua mjini mipango, tupo kama kawa. Mazungumzo baada ya salamu hizo, nataka nikupe dhumuni la barua hii. Nimekuandika barua hii nikiwa na mambo mawili ya msingi.La...

 

10 years ago

GPL

BASTOLA YA RAY YAZUA HOFU UKUMBINI

Mwandishi Wetu
KATIKA hali ya kushangaza, muigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ alizua hofu ya aina yake baada ya kutinga fulana fupi iliyosababisha silaha yake aina ya bastola kuonekana na kuwafanya watu waliomzunguka kujawa na hofu.Tukio hilo la aina yake lilitokea Jumamosi iliyopita katika ufukwe wa Escape One, Mikocheni jijini Dar kulipokuwa na uzinduzi wa video ya wimbo wa Nashindwa wa mwanamuziki Christian Bella...

 

10 years ago

GPL

RAY ‘AFUNGUKIA’ BASTOLA YAKE

Brighton Masalu STAA wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray The Greatest’ amefunguka na kuweka wazi kuwa kamwe hajawahi kuionesha bastola yake kwa makusudi au kutafuta sifa. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1HAPGAs

 

10 years ago

Mwananchi

Bastola kanisani: Mtu mmoja anaswa akiwa na bastola yenye risasi nane

Hofu imewakumba waumini wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Stephano, Kisarawe mkoani Pwani katika ibada ya Ijumaa Kuu baada mtu mmoja kukamatwa katikati ya ibada ya Ijumaa Kuu akiwa na bastola yenye risasi nane.

 

10 years ago

GPL

RAY C: MAMA’ANGU ANAUMWA SANA

Musa Mateja
STAA wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’, ambaye anatumia dozi ya kumwezesha kuacha matumizi ya madawa ya kulevya, amesema kuwa mama yake mzazi yu mgonjwa sana, akisumbuliwa na maumivu makali, Ijumaa Wikienda lina mkasa kamili. Mama mzazi wa Ray C, Margaret Mtweve. Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, staa huyo alisema kwa zaidi ya siku tatu mfululizo, mama yake alishindwa...

 

11 years ago

GPL

NI RAHISI SANA KUIMARISHA NDOA YAKO!

ILI uwe na ndoa yenye furaha ni lazima utenge muda wa kutafakari namna ya kuiboresha na
kutafuta furaha ya ndoa hiyo. Ndugu zangu, kila kitu kinatengenezwa. Waswahili wanasema, ukiona vyaelea, ujue vimeundwa. Huwezi kuacha mambo yakajiendesha hovyo ukategemea kuwa na ndoa bora. Uhusiano imara unakutegemea wewe.
Kila mmoja ana wajibu wa kuangalia furaha ya mwenzake. Yapo mambo mengi muhimu ambayo kama
wanandoa wakiyafanya...

 

10 years ago

Vijimambo

RAY KIGOSI AWASTUA KISHAPU, AWAAMBIA UPINZANI BADO SANA

Na Mwandishi WetuMsanii Nguli wa filamu nchini, Ray Kigosi, amewaambia watanzania leokuwa makini na kusikiliza sera na kuachana na mihemko ya kisiasa itakayopelekea wao kufanya maamuzi watakayoyajutia baadae.Kigosi ameyasema hayo alipokuwa katika moja ya mikutano inayoendeshwa na kundi la wasanii lenye kauli mbiu ya Nimestuka, katika jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, ikiwa ni sehemu ya ziara ya kundi hilo inayopita kijiji kwa kijiji katika kuhakikisha kwamba wanawaelimisha vijana wenzao...

 

10 years ago

Bongo Movies

RAY: Bora Kujipanga Mwenye Kwenye Harusi Yako

Muigizaji na muongozaji wa filamu Vicent Kigosi  “Ray” akiongea kwenye kipindi cha Television cha  Boys Boys kinachorushwa na kituo cha TV1. Alionekana kupinga swala watu wenye pesa zao lakini bado wanasumbua watu kwa michango ya harusi hivyo akashauri ni bora mtu kabla ya kuoa ajipange na sio kusumbua watuna kadi za michango.

 “Sio mtu unawapa watu mizigo isiyo ya kwao,” alisema. “Kama una uwezo fanya mwenyewe, kwa sababu katika maisha tunaambiwa kuna vitu vitatu, kuzaliwa, harusi na...

 

10 years ago

Vijimambo

RAY KIGOSI AWAAMBIA WAKAZI WA KISHAPU SHINYANGA UPINZANI BADO SANA




Na Mwandishi WetuMsanii Nguli wa filamu nchini, Ray Kigosi, amewaambia watanzania leokuwa makini na kusikiliza sera na kuachana na mihemko ya kisiasa itakayopelekea wao kufanya maamuzi watakayoyajutia baadae.Kigosi ameyasema hayo alipokuwa katika moja ya mikutano inayoendeshwa na kundi la wasanii lenye kauli mbiu ya Nimestuka, katika jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, ikiwa ni sehemu ya ziara ya kundi hilo inayopita kijiji kwa kijiji katika kuhakikisha kwamba wanawaelimisha vijana wenzao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani