NI RAHISI SANA KUIMARISHA NDOA YAKO!
![](http://api.ning.com:80/files/omkt7cwbhXJ-4NTWjiwtd61ULJH9t9t-iGF5U*eCjgWdTKzIr2esGSzGbHE83BmTAzrETFoxBQ*LaDbN*4kNd3-EHuqD3NwG/15.jpg?width=650)
ILI uwe na ndoa yenye furaha ni lazima utenge muda wa kutafakari namna ya kuiboresha na kutafuta furaha ya ndoa hiyo. Ndugu zangu, kila kitu kinatengenezwa. Waswahili wanasema, ukiona vyaelea, ujue vimeundwa. Huwezi kuacha mambo yakajiendesha hovyo ukategemea kuwa na ndoa bora. Uhusiano imara unakutegemea wewe. Kila mmoja ana wajibu wa kuangalia furaha ya mwenzake. Yapo mambo mengi muhimu ambayo kama wanandoa wakiyafanya...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y8Xf2kBXWFn*2M4PbPCnBrgLsNuHmZVq3lri5iOkqAxDI6qJpODlZxOhmQvduaSLNKo785MPspvpEti1NMiaFfhOd7WWFHrw/julianadidone3.jpg)
SHOGA; MAMA YAKO ASIKUINGILIE KWENYE NDOA YAKO
10 years ago
Dewji Blog13 Jul
Sasa ni rahisi zaidi kutazama account yako na Tenbre App
Sasa unaweza kucheki bill ya account yako mpaka miezi sita kwa app ya tenbre. Unaweza kuona historia ya account yako, makato au marejesho ya kiasi cha pesa pia yataonekana.
Anza kwa kuchagua “smart card”. Hii itakuonyesha orodha ya vitu mbali mbali.
Chini ya orodha hii, utaona “Account Bill”, chagua hiyo ili kuangalia bill yako.
Unaweza kuchagua mwezi unaotaka kuangalia:
Download Tenbre kwa kutembelea Play Store kwenye simu yako ya Android au bofya hapa
Kama una swali au ungependa kujua...
11 years ago
Dewji Blog27 Jun
Chadema jitahidini kusafisha nyumba yenu, ni rahisi sana kunyooshea kidole wengine…!
. kila kukicha CCM wamefanya hiki au kile!
Na Damas Makangale, MOblog Tanzania
Kuna msemo unasema nyani haoni kundule… kwa wale wapenzi wa soka wanajua kwamba ni rahisi sana ukiwa nje ya uwanja kuanza kulalamika bhana mara angetoa pasi au angefanya hivi au vile lakini ingia wewe uwanjani uone shughuli yake!
Kwa muda mrefu katika siasa za hapa nyumbani kumekuwa na tabia ya wanasiasa na hasa kutoka vyama vya upinzani kulalamikia kuhusu mwenendo wa Chama tawala CCM kwamba kimeshindwa hiki au...
9 years ago
MillardAyo01 Jan
Mambo ni rahisi zaidi.. utaweza kupima chakula kwa simu yako kabla ya kula, hapo vipi?.. (+Video)
Tunasema asante kwa teknolojia kila siku kwa sababu ya vitu vizuri ambavyo tunakutana navyo vikikufikia na kurahisisha mambo mengi kwa sababu tu wataalam wamekaa na wamebuni kitu kizuri !! Unaambiwa ni suala la kukaa tayari wakati wowote kuanzia sasa tutakuwa na simu zenye uwezo wa kufanya scanning chakula na kutoa majibu kwamba kwenye chakula kuna […]
The post Mambo ni rahisi zaidi.. utaweza kupima chakula kwa simu yako kabla ya kula, hapo vipi?.. (+Video) appeared first on...
10 years ago
Vijimambo10 May
DJ GULU RAMADHANI NANJI ATIMIZA MIAKA 19 YA NDOA YAKE, VIJIMAMBO BLOG INAKUTAKIA MIAKA AMANI NAFURAHA ZAIDI KATIKA NDOA YAKO.
![](https://scontent-iad.xx.fbcdn.net/hphotos-xpa1/v/t1.0-9/p240x240/11200587_909761035753767_7843757387391072959_n.jpg?oh=4ca697f286dccbefbfa5b80acd7b4563&oe=55C83211)
Oooh Allah Naona Kama Naota Vile Kama Siamini Vile...Asante Sana Mungu Kwa Pumzi Unayotupa Hadi Leo Tarehe 10 May Twafikisha Miaka 19 Ya Ndoa Yetu Mimi Na Mke Wangu Kipenzi Bi Khadija Gulu...Asante Sana Bi Wife Kwa Kustahmili Mengi Kutwa Nipo Katika Mihangaiko,Safarini Kikazi Lakini Mungu Amekujaalia Upendo,Subra,imani Na Moyo Wa Kipekee Wa Kijasiri Sijapata Kuona Wa Kuweza Kukaa Na Familia Kama Mume Nipo Nyumbani Wakati Wote,Wewe Kweli Ni Mke Bora...Wakati Twafunga Ndoa Wengi Walidiriki...
5 years ago
BBCSwahili04 Apr
Virusi vya corona: Vyakula unavyohitaji kuimarisha kinga yako mwilini
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vOQMXCMD518NVxl0zq1I*tkEWVLDLPdqXXPyNDIW0uY57kyRdO65oVnHKeZFfyNqkttMYpMZC0aIXzVpghCKfAd07mR4Q4v5/MAMAWEMA.jpg)
RAY CHUNGA SANA HIYO BASTOLA YAKO BROO!
5 years ago
BBCSwahili04 May
Virusi vya corona: Jinsi ya kuimarisha afya yako ya akili wakati wa marufuku ya kutotoka nje
11 years ago
Mwananchi21 Jun
Mazoezi kuimarisha tendo la ndoa hata kwa wazee