Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TID CHUNGA SANA ISHU ZA UBABEUBABE!

KWAKO mkali wa Bongo Fleva, Khaleed Mohamed ‘TID’ mambo vipi mzee? Kitambo kidogo sijakutia machoni. Mara nyingi nakuona kupitia vyombo vya habari. Naamini u-mzima wa afya.Ukitaka kujua hali yangu, mimi pia sijambo naendelea na mishemishe za mjini si unajua mjini mipango, tupo kama kawa. Mazungumzo baada ya salamu hizo, nataka nikupe dhumuni la barua hii. Nimekuandika barua hii nikiwa na mambo mawili ya msingi.La...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

RAY CHUNGA SANA HIYO BASTOLA YAKO BROO!

WAKATI mwingine kazi yetu hii ni ya lawama, kwa sababu kuna wakati unalazimika kuandika kitu cha kweli kuhusu rafiki, ndugu au jamaa yako, lakini ukijua fika hatakipenda na huenda, ikaweza hata kuharibu uhusiano wenu. Vicent Kigosi maarufu kama Ray, ni mmoja wa watu ambao nimewahi kuwa naye karibu kikazi, kiasi kwamba tulijenga aina flani ya ushkaji, ingawa ukaribu wetu kwa miaka ya karibuni umedorora kutokana na wakati, kwani...

 

10 years ago

Mwananchi

Cannavaro, Yondani chunga huyu Baghdad

Hata kabla ya Etoile du Sahel kutua nchini leo, nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ na beki wake wa kati, Kelvin Yondani wametakiwa kucheza kwa umakini na tahadhari ya hali juu dhidi ya mshambuliaji Baghdad Bounedjan anayevaa jezi namba 9.

 

11 years ago

BBCSwahili

Chunga usiwe mwathiriwa wa mapenzi mitandaoni

Polisi nchini Ufilipino, wamewakamata washukiwa wa uhalifu katika mitandao ambao ni sehemu ya kikundi cha watu wanaowahadaa watu kwa njia ya mapenzi.

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Bongo5

Music: Lady Queen Ft Enock Bella – Chunga Mzigo

Lady Queen 2

Hii ni Track mpya kutoka kwa Lady Queen amemshirikisha kijana Enock Bella kutoka (Yamoto Band), Wimbo unaitwa “Chunga Mzigo”. Producer Shirko.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu: Nilishalia Sana, Nishaumia Sana Lakini Kwasasa…….

Staa mrembo kutoka Bongo Movies Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameamua kutoboa kile alichokiita kama faraja yake kwa hivi sasa.

“Faraja YANGU...Nishalia sana,nishaumia sana lakini kwa sasa nikiona mmoja kati ya hawa analia au kuumia ndo kitu kinachoweza kuniumiza zaidi...!MUNGU awatunzeeee”-Lulu aliandika hayo jana usiku kwenye ukursa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya mama yake na mdogo wake.

Kufuatia andiko hilo komenti za mashabiki wengi zilielekea zaidi kumzungumzia kifo cha Steven...

 

10 years ago

Michuzi

TID APIGWA KABALI

Msikilize TOP IN DAR A.K.A TID kwa kubofya mstari mweupe hapo chini...

 

11 years ago

CloudsFM

TID AMTUSI RAY C

Staa kitambo kwenye game la Bongo Fleva,TID Mnyama amegeuka mbogo baada ya msanii mwenzake Rehema Chalamila’Ray C’ kumuomba kupitia account yake ya Instagram wazungumze.Ray C aliandika hivi: “Come let’s talk Tid ur the best musian in east Africa pls lets talk @tidmnyama.” Aliandika Ray C.Ingawa Ray C hakufafanua katika comment yake aliyoiweka kwenye post ya picha ya TID inayotambulisha Refix ya wimbo wake ‘Asha ‘ uliofanywa na Lamar, TID aliporomosha matusi akimtaka aachana nae kabisa. Hata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani