TID AMTUSI RAY C
Staa kitambo kwenye game la Bongo Fleva,TID Mnyama amegeuka mbogo baada ya msanii mwenzake Rehema Chalamila’Ray C’ kumuomba kupitia account yake ya Instagram wazungumze.
Ray C aliandika hivi: “Come let’s talk Tid ur the best musian in east Africa pls lets talk @tidmnyama.” Aliandika Ray C.
Ingawa Ray C hakufafanua katika comment yake aliyoiweka kwenye post ya picha ya TID inayotambulisha Refix ya wimbo wake ‘Asha ‘ uliofanywa na Lamar, TID aliporomosha matusi akimtaka aachana nae kabisa. Hata...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo509 Jul
Hatimaye Ray C amjibu TID
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Ni TID , Marlaw, AY, Ray C, Daz baba, Suma Lee,kwenye video zao enzi hizo…(+Video)
Muziki wa Bongo Fleva una safari yake ndefu tu, wengine wapo kwenye game wengine hawapo…..nakukumbusha na vitu vya zamani kidogo mtu wangu, hapa ninazo video za kitambo kidogo za mastaa mbalimbali TZ kwenye ubora wao yani enzi hizo. Ninazo video 10 zilizokuwa zikitambata enzi hizo.. TID – zeze Marlaw –Bembeleza Ray C – Uko wapi […]
The post Ni TID , Marlaw, AY, Ray C, Daz baba, Suma Lee,kwenye video zao enzi hizo…(+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
BBCSwahili22 Jan
Mtawa amtusi mjumbe wa UN
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yKWLMefqYByeYGZ7enng118t7Oa-PcR5BNzQoYYpCa97O2vJT8j-HQ2VCYGxMTalPJI6xe1vo9NIIkpH3P4CGfUGHWnGpWGB/we.jpg?width=650)
DIAMOND AMTUSI X WA ZARI!
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e94-*Sv1fqpdIXzNsutklPfazGvm07kgdLbN3PfCS6W5pt-TFsLranb4g5ZCLhJG0rHUcz7-mdn0xCrqUaWQ0I9aTHnyaWS5/WEMA.jpg?width=650)
WEMA AMTUSI DIAMOND
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/h2SvCI1KJvMLjQ0ca6hs7Qk2XpmorEBydREbWlQ*UYuCdL6lgwLFsoZASdwJB4ByZpzZmJ8BDaFBsFrTBS-ECQTmobrUDkTD/FRONTRISASI.jpg)
WEMA AMTUSI SHEMEJI WA ZARI
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
DC avamia mkutano, amtusi mbunge
MKUU wa Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, Venance Mwamoto, amevamia jukwaa la mkutano wa NCCR-Mageuzi na kisha kumtolea lugha ya matusi Mbunge wa Muhambwe, Felix Mkosamali. Mwamoto alijikaribisha kwenye mkutano...
10 years ago
Bongo Movies15 Feb
Ray Feki Awatapeli Watu Facebook, Ray Waukweli Atoa Angalizo!
“Wadau na wasanii wote mnaotaka kuigiza msidanganyike na account hii ya Facebook SIYO YANGU NI FAKE.
Maana napata tabu sana Ofisini kwangu watu wanakuja kudai Hela wakisema kuwa Eti Mimi nimetangaza usahili kupitia kwenye account hiyo hapo juu fake Kuwa nahitaji wasanii ni uongo mtupu mnaibiwa pesa zenu na namba anayotumia kuwaibia Watu Hela ni hiii hapa 0779 946440.
Msidanganywe ni matapeli hao Mimi Sijatangaza Chochote kwenye Facebook. Im done hope That You Have All understood...