WEMA AMTUSI DIAMOND

STORI: MUSA MATEJA NA IMELDA MTEMA WEMA Isaac Sepetu ‘Madam’ ameangusha bethidei baab’kubwa ambayo imesheheni kufuru ya aina yake na ‘kumtusi’ hadharani mpenzi wake wa zamani, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa kumsema kuwa ni mtu wa kununua magari ya bei rahisi hivyo hawezi kuifikia hadhi yake, Risasi Mchanganyiko lina mchapo kamili. Wema Sepetu akiwa ndani ya gari lake jipya. ILISOGEZWA MBELE MAKUSUDI Sherehe hiyo ambayo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
WEMA AMTUSI SHEMEJI WA ZARI
10 years ago
GPL
DIAMOND AMTUSI X WA ZARI!
10 years ago
Bongo Movies11 Feb
Wema Amtusi Shemeji wa Zari, Kisa?! Kuvujisha Picha Mtandaoni!
SEKESEKE: Inadaiwa kuwa mwigizaji Wema Sepetu ‘Madam’ amemporomoshea matusi mazito shemeji wa Zarina Hassan ‘Zari’, King Lauwrance akidai amemuudhi sana kwa kitendo cha kuvujisha picha inayomuonesha akiponda raha nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ na mume wa Zari, Ivan Semwanga.
Kama tunavyojua Wema na staa wa Bongo Fleva, Omari Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ walikwenda Sauz kufanya Le Project ya Video.
Kwa mujibu wa chanzo cha GPL kilichokuwa Sauz, baada ya Wema na Ommy kutua nchini humo na ‘project’ ...
11 years ago
Bongo Movies14 Aug
"Kimenuka kwa Diamond" Mashabiki wa Wema wamtaka aache 'kumtumia' Wema kibiashara.
Kundi la watu wanaojiita mashabiki wa Wema Sepetu, limeanzisha kampeni kwenye mtandao mmoja wa maarufu wa kijamii kampeni iliyopewa jina la #BringBackOurWema likimshinikiza mpenzi wake Diamond Platnumz amrudishe kwenye maisha yake ya zamani na kukuza career yake ya filamu.
Mashabiki hao wanaamini kuwa Diamond anampoteza Wema na amekuwa akitumia umaarufu wake (Wema) kujidhatiti zaidi yeye huku Miss Tanzania huyo wa zamani akiendelea kudidimia.
Hivi ndivyo maelezo...
10 years ago
Bongo Movies21 Jun
Mzee Majuto Amuunga Mkono Wema Sepetu, Diamond Amtaka Wema Abadilike Kama Kweli Anautaka Ubunge
Mzee Majuto kwa mara ya kwanza ameamua kufunguka kumuunga mkono Wema Sepetu kwa nia yake ya kutaka kuwa mbunge.Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Mzee Majuto ameandika;
Nisingependa kuyaongea haya kwenye mfungu mtukufu ila kiundani ningependa kuonyesha umoja na kumuunga mkono wazo na lengo la Mwanangu kwa kuwa anaweza na amethubutu sasa isitokee wale wasiopenda maendeleo ya watu na taifa hili kuvuruga misingi na mipango madhubuti ya kuwapa nafasi vijana na hasa wanawake kushika hatamu na...
10 years ago
Vijimambo10 Jun
SUPER STAR DIAMOND AFUNGUKA LIVE: BORA NIFE KULIKO KUMRUDIA WEMA, WEMA NAYE AJIBU MASHAMBULIZI ILE MBAYA

KIAPO! Kuonesha kwamba hana mpango wa kurudi nyuma, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ amefungukia msimamo wake juu ya mwandani wake wa zamani, Wema Sepetu ‘Madam’ kwa kusema kuwa kamwe hawezi kumrudia tena, Risasi Jumamosi lina mkanda kamili.

10 years ago
Dewji Blog22 Dec
11 years ago
Vijimambo
Wema Sepetu Atoswa ! Vikao Vya Harusi Ya Diamond Na Meninah Vyaanza Nyumbani Kwa Mama Diamond.
