DIAMOND AMTUSI X WA ZARI!
![](http://api.ning.com:80/files/yKWLMefqYByeYGZ7enng118t7Oa-PcR5BNzQoYYpCa97O2vJT8j-HQ2VCYGxMTalPJI6xe1vo9NIIkpH3P4CGfUGHWnGpWGB/we.jpg?width=650)
Stori: Musa Mateja/Risasi ICON wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, juzikati aliamua kumtolea uvivu, aliyewahi kuwa mpenzi wa mwandani wake wa sasa, Zarinah Hassani ‘Zari’, King lawrenc kwa kumuita mpuuzi anayetafuta kiki kwa vile kila kukicha kazi yake ni kumfuatafuata kwa maneno ya kejeli na kumtusi. X wa Zari, King lawrence akipozi. Akipiga stori mbili tatu na gazeti hili hivi karibuni, staa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/h2SvCI1KJvMLjQ0ca6hs7Qk2XpmorEBydREbWlQ*UYuCdL6lgwLFsoZASdwJB4ByZpzZmJ8BDaFBsFrTBS-ECQTmobrUDkTD/FRONTRISASI.jpg)
WEMA AMTUSI SHEMEJI WA ZARI
10 years ago
Bongo Movies11 Feb
Wema Amtusi Shemeji wa Zari, Kisa?! Kuvujisha Picha Mtandaoni!
SEKESEKE: Inadaiwa kuwa mwigizaji Wema Sepetu ‘Madam’ amemporomoshea matusi mazito shemeji wa Zarina Hassan ‘Zari’, King Lauwrance akidai amemuudhi sana kwa kitendo cha kuvujisha picha inayomuonesha akiponda raha nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ na mume wa Zari, Ivan Semwanga.
Kama tunavyojua Wema na staa wa Bongo Fleva, Omari Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ walikwenda Sauz kufanya Le Project ya Video.
Kwa mujibu wa chanzo cha GPL kilichokuwa Sauz, baada ya Wema na Ommy kutua nchini humo na ‘project’ ...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e94-*Sv1fqpdIXzNsutklPfazGvm07kgdLbN3PfCS6W5pt-TFsLranb4g5ZCLhJG0rHUcz7-mdn0xCrqUaWQ0I9aTHnyaWS5/WEMA.jpg?width=650)
WEMA AMTUSI DIAMOND
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-4AWazcB9U-I/VUONB6vGraI/AAAAAAAABbc/BDzktArlrlE/s72-c/Africanjam2.jpg)
TANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI
![](http://2.bp.blogspot.com/-4AWazcB9U-I/VUONB6vGraI/AAAAAAAABbc/BDzktArlrlE/s1600/Africanjam2.jpg)
Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...
10 years ago
Vijimambo08 Jan
DIAMOND APEWA OFA YA $40,000 AMWACHE ZARI, NJEMBA LAPOST SCREENSHOT YA ZARI AKILIOMBA MKWANJA!
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/10888399_10205933029869831_1858120712732123108_n.jpg)
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/1b.jpg)
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/1a.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xbc0vWPYETtowDTTqEVENLPUx-aeg*-Es07t5C9cRPwvBkS0x-6jJ0MyEndkloaUohu6hWZ671dnWE3XsNHT1IxMhYSh-GME/FRONTAMANI.jpg)
MIMBA YA ZARI SI YA DIAMOND
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZNt8FIknlRN*1sOPYO2J85SFG5w2fQR13-c8GpxNhJyBf5rssodE4xKt0GB0iUQEA8Ce3DAxyhdZ1w8KdoX5rumUaS7Oo8Zy/FRONTAMANI.gif?width=650)
DIAMOND, ZARI KIMENUKA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1pYGM2xUDQnEpt0hMA2HTJn5VoqXm9Q7T1YWzJmjHxzNC*R9V5bFI6k-HIHkqgJsSNP8Xpbfq0-jRsX6K5sIOgnN-H5Is3qk/zari.jpg)
ZARI WA DIAMOND KWISHA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/17StHKe5zK5Fn0G4YSBYEqYiXeI39nt8nPPaREwiy9zq8Y4y*alUymI3WCwUO32zXWyAwQ3ikYO4D8hwQhVibzNewktZhWT-/zari.jpg?width=650)
DIAMOND, ZARI WAUMBUKA!