DIAMOND APEWA OFA YA $40,000 AMWACHE ZARI, NJEMBA LAPOST SCREENSHOT YA ZARI AKILIOMBA MKWANJA!
Mapenzi ya Diamond na Zari The Bosslady tayari yameanza kupata vikwazo kutoka kwa watu wenye nguvu. King Lawrence, anayedaiwa kuwa mpenzi wake na Huddah Monroe na ambaye pia ni mtu wa karibu na dereva wa aliyewahi kuwa mume wa Zari, Ivan Semwanga ametangaza dau la $40,000 kwa Diamond ili amwache mpenzi wake huyo.
Jamaa huyo amepost picha Facebook ya screenshot inayoonesha kuwa ni mawasiliano na Zari aliyekuwa akitaka amtumie fedha.
Lawrence pia amemuita Diamond ‘Faggot’ neno linalomaanisha...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-4AWazcB9U-I/VUONB6vGraI/AAAAAAAABbc/BDzktArlrlE/s72-c/Africanjam2.jpg)
TANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI
![](http://2.bp.blogspot.com/-4AWazcB9U-I/VUONB6vGraI/AAAAAAAABbc/BDzktArlrlE/s1600/Africanjam2.jpg)
Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...
10 years ago
Bongo510 Jan
Huddah amkana mwanaume aliyedai kuwa mpenzi wake, aliyemtangazia Diamond dau la $40,000 ili amuache Zari
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/P0y0X6852Mc/default.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0gGC4ZQuxjOijoYvaKbMzMDa-a2Z*mKmfHr88NhhiDHWlHqmFLsSGdM8npzxyonDMbCyHJTSymhLqtCYok*mmStmTOZJDe0i/zaricopy.jpg?width=650)
MUME WA ZARI ANASA KWA SHOSTI WA ZARI
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-mAr53L28UR0/VUOBSPD79PI/AAAAAAAAtBs/ZszPK3SJ_xg/s72-c/zari%2Bwetu.jpg)
Tuache ushabiki Jamani Huyu Dada Tumpe Hongera yake... Ubunifu Wake Nimeupenda..Mitandao ya Kijamii leo ni Zari Zari
![](http://1.bp.blogspot.com/-mAr53L28UR0/VUOBSPD79PI/AAAAAAAAtBs/ZszPK3SJ_xg/s640/zari%2Bwetu.jpg)
Zari "Watanzania Wamenikaribisha kama ni mtu wao na sasa mimi ni wao hivyo ni yote ni heri kabisa"
Zari Tlale aka The Bosslady amesema upendo anaoupata baada ya kuanzisha uhusiano na Diamond Platnumz, umemfanya agundue kuwa watanzania wamemkubali kama mtu wao.
Akiongea na Clouds FM/TV asubuhi hii, Zari amesema tangu ameanza kuja Tanzania amekuwa akipokea upendo zaidi kutoka kwa watanzania kiasi ambacho kimemfanya ajisikie kama yupo kwao.“Siwezi hata kulalamika, watu wa Tanzania ni wakarimu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yKWLMefqYByeYGZ7enng118t7Oa-PcR5BNzQoYYpCa97O2vJT8j-HQ2VCYGxMTalPJI6xe1vo9NIIkpH3P4CGfUGHWnGpWGB/we.jpg?width=650)
DIAMOND AMTUSI X WA ZARI!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZNt8FIknlRN*1sOPYO2J85SFG5w2fQR13-c8GpxNhJyBf5rssodE4xKt0GB0iUQEA8Ce3DAxyhdZ1w8KdoX5rumUaS7Oo8Zy/FRONTAMANI.gif?width=650)
DIAMOND, ZARI KIMENUKA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xbc0vWPYETtowDTTqEVENLPUx-aeg*-Es07t5C9cRPwvBkS0x-6jJ0MyEndkloaUohu6hWZ671dnWE3XsNHT1IxMhYSh-GME/FRONTAMANI.jpg)
MIMBA YA ZARI SI YA DIAMOND
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/17StHKe5zK5Fn0G4YSBYEqYiXeI39nt8nPPaREwiy9zq8Y4y*alUymI3WCwUO32zXWyAwQ3ikYO4D8hwQhVibzNewktZhWT-/zari.jpg?width=650)
DIAMOND, ZARI WAUMBUKA!