Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND, ZARI WAUMBUKA!

Stori: Imelda mtema
Licha ya madai wanayoyatoa mastaa wawili hot kwa sasa, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Zarinah Hassan a.k.a Zari au The Boss Lady kuwa si wapenzi bali kuna project wanaifanya, wawili hao wameumbuka.
Kuumbuka huko kumekuja kufuatia kuvuja kwa picha inayowaonesha mastaa hao wakidendeka huku wakiwa kwenye hisia kali. Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Zarinah Hassan wakibusiana kimahaba. Katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Africanjam.Com

TANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI

Tweet

Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND APEWA OFA YA $40,000 AMWACHE ZARI, NJEMBA LAPOST SCREENSHOT YA ZARI AKILIOMBA MKWANJA!

Mapenzi ya Diamond na Zari The Bosslady tayari yameanza kupata vikwazo kutoka kwa watu wenye nguvu. King Lawrence, anayedaiwa kuwa mpenzi wake na Huddah Monroe na ambaye pia ni mtu wa karibu na dereva wa aliyewahi kuwa mume wa Zari, Ivan Semwanga ametangaza dau la $40,000 kwa Diamond ili amwache mpenzi wake huyo. Jamaa huyo amepost picha Facebook ya screenshot inayoonesha kuwa ni mawasiliano na Zari aliyekuwa akitaka amtumie fedha.Lawrence pia amemuita Diamond ‘Faggot’ neno linalomaanisha...

 

10 years ago

GPL

ZARI WA DIAMOND KWISHA!

Stori: Erick Evarist BUUUU! Hizo ndizo kauli zilizozagaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii mara baada ya habari ya kurekodiwa video ya utupu ya mwanadada anayedaiwa kuwa mwandani mpya wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’ kuchapishwa gazetini nchini Uganda, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili. Pichani ‘Zari’, ‘The Boss...

 

10 years ago

GPL

MIMBA YA ZARI SI YA DIAMOND

Mwandishi wetu
OHOOO! Wakati Nasibu Abdul ‘Diamond’ akijinadi kwa mbwembwe kuwa anategemea kiumbe kutoka kwa mwandani wake Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’, ubuyu mpya wa mjini unadai kuwa mimba aliyobeba mrembo huyo si ya Diamond, Amani limemeza sababu za kutosha. Mwandani wa mbongo fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’. TUJIUNGE NA CHANZO
Kwa...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND, ZARI KIMENUKA

OHOOO! Wakati penzi lao likitarajia matunda ya kupata kijacho miezi kadhaa ijayo, uhusiano wa Nasibu Abdul ‘Diamond na staa wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ umedaiwa kutibuka baada ya Diamond kufunguka kuwa anampenda mwigizaji wa Nigeria, Omotola Jalade Ekeinde, Amani linakupa mchapo. Mkali wa Bongo fleva Nasibu Abdul ‘Diamond. Diamond aliitoa kauli hiyo hivi karibuni jijini Lagos alipokuwa...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AMTUSI X WA ZARI!

Stori: Musa Mateja/Risasi
ICON wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’,  juzikati aliamua kumtolea uvivu, aliyewahi kuwa mpenzi wa mwandani wake wa sasa, Zarinah Hassani ‘Zari’, King lawrenc kwa kumuita mpuuzi anayetafuta kiki kwa vile kila kukicha kazi yake ni kumfuatafuata kwa maneno ya kejeli na kumtusi. X wa Zari, King lawrence akipozi. Akipiga stori mbili tatu na gazeti hili hivi karibuni, staa...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND, ZARI NDANI YA SONGEA

MFALME wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' tayari yupo katika Mji wa Songea mkoani Ruvuma akiwa na mpenzi wake Zarinah Hassan 'The Boss Lady' tayari kwa ajili ya shoo itakayosindikiza hafla ya Chama cha Mapinduzi (CCM) leo katika Uwanja wa Majimaji.

 

10 years ago

GPL

BABA DIAMOND AMFAGILIA ZARI

Kukubali! Baba mzazi wa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Jumaa ‘Baba D’ amefunguka kuwa, kwenye listi ya wanawake wote waliowahi kuwa na mwanaye kimalovee, mwanadada Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ndiye mkwe wa ukweli kwake kutokana na kuwa tayari kumletea mjukuu. Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mpenzi wake Zarinah...

 

9 years ago

Bongo5

Zari hajawahi kuolewa — Diamond

Diamond Platnumz amesema Zari hajawahi kuolewa na kwamba hadi sasa hajapokea barua yoyote kutoka mahakamani ikimtaka kuchukua vipimo vya DNA vya mtoto wake, Tiffah. Diamond akiwa na mtoto wake Tiffah Kwa mujibu wa Diamond, barua iliyowekwa kwenye akaunti ya King Lawrenc ni moja ya njia ya swahiba hiyo wa ex wa Zari, Ivan ya kujipatia […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani