MIMBA YA ZARI SI YA DIAMOND
![](http://api.ning.com:80/files/Xbc0vWPYETtowDTTqEVENLPUx-aeg*-Es07t5C9cRPwvBkS0x-6jJ0MyEndkloaUohu6hWZ671dnWE3XsNHT1IxMhYSh-GME/FRONTAMANI.jpg)
Mwandishi wetu OHOOO! Wakati Nasibu Abdul ‘Diamond’ akijinadi kwa mbwembwe kuwa anategemea kiumbe kutoka kwa mwandani wake Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’, ubuyu mpya wa mjini unadai kuwa mimba aliyobeba mrembo huyo si ya Diamond, Amani limemeza sababu za kutosha. Mwandani wa mbongo fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’. TUJIUNGE NA CHANZO Kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/N9SP9Z4W-Dfw*d4zYi4be5LaJ0lP03VElVWrTnJ9C0wdKbZikuEB*KoDjTmGGIwqkLAQrZnTT7eagdMeD3uZxE6QGRTQ9CV8/FRONT.jpg?width=650)
DIAMOND AMDUNGA MIMBA ZARI!
Stori: waandishi wetu/Ijumaa
BAADA ya kufunguka kuwa zilipendwa wake, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na Penniel Mwingilwa ‘Penny’ wamegoma kumzalia, habari ya mjini kutoka kwa mfalme wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ni kwamba anadaiwa kumdunga mimba mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ddTCHyz3HmzqqE8*8mXcf89uZAQ6mx2PJHlK8COjTjqUQpZnLozZ*vY65UCv1Yus1fvch2xFL7Rrb-JYUf5omvgczAMvn*Rf/Diamond.jpg?width=650)
DIAMOND: HEE! MIMBA YA ZARI IMETOKA!
Na Musa Mateja
Mwanamuziki ambaye pia ni Rais wa Wasafi Classic Baby (WCB, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ameshangazwa na madai kuwa eti mimba ya mpenzi wake Zarina Hassan ‘Zari’ imetoka na kuwataka Wabongo kuacha tabia ya uzushi. Nasibu Abdul ‘Diamond’ akiwa na mpenzi wake zari. Akizungumzia madai yaliyokuwa yamezagaa mtandaoni kuwa ile mimba yake aliyokuwa akiilea kama yai kwa Zari...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jK7-NTyuxfCSFIsjC-HkN4PnkITv2ZBga2OREaooyR95rXiJaxLD9RNhNk1bDKD3D41H0cX68DxtigQng*0oAlYOCOxlf0SA/ghfhfh.gif?width=650)
MIMBA YA ZARI YAMPA MAMILIONI DIAMOND
Musa Mateja
Imebainika kuwa mimba ya mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ inamwingizia jamaa huyo mamilioni ya fedha, Ijumaa limebaini mchezo mzima.
KUMBE! Mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’. Imeelezwa kwamba, katika kila shoo anayokwenda na mama kijacho huyo...
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-4AWazcB9U-I/VUONB6vGraI/AAAAAAAABbc/BDzktArlrlE/s72-c/Africanjam2.jpg)
TANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI
Tweet
![](http://2.bp.blogspot.com/-4AWazcB9U-I/VUONB6vGraI/AAAAAAAABbc/BDzktArlrlE/s1600/Africanjam2.jpg)
Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...
![](http://2.bp.blogspot.com/-4AWazcB9U-I/VUONB6vGraI/AAAAAAAABbc/BDzktArlrlE/s1600/Africanjam2.jpg)
Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...
10 years ago
Vijimambo08 Jan
DIAMOND APEWA OFA YA $40,000 AMWACHE ZARI, NJEMBA LAPOST SCREENSHOT YA ZARI AKILIOMBA MKWANJA!
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/10888399_10205933029869831_1858120712732123108_n.jpg)
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/1b.jpg)
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/1a.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NQ48wH9Dt2SjA7ZV0ZLg4vxhxdoc9xz67wkYwywEvmoDYve56Q*pEMSeBfIpJmNlZU6nD2nwXcRqIYdwrdsHNTXUQgpoedvI/zari.gif?width=650)
MUME WA ZARI ABAMBIKIWA MIMBA!
Kampala, Uganda
Wakati staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akisubiri mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ajifungue mtoto wa kike ‘taimu’ yoyote kutoka sasa, aliyekuwa mume wa mwanamama huyo, tajiri Ivan Ssemwanga anadaiwa kubambikiwa mimba na mtangazaji wa runinga aitwaye Doreen Kumhangi, Ijumaa limeidaka. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1LUhLsE ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NpAlVAvTs3PHiYS60Lt6t6CoqPap*cJputsS2g0vOPt6RN4AYQtqJyEOH1cQIDdqcjH-33dyVOh2YnyBAxqnEbHp5c3feARA/dwwfa.jpg?width=650)
FAMILIA:TUNASHAKA NA MIMBA YA ZARI
Musa Mateja SHAKA! Familia ya ‘President’ wa Kruu ya Wasafi, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ imeamua kuweka kikao kummbana staa huyo aweke wazi kama ni kweli ana uhakika mimba aliyonayo mjasiriamali Zarinah Hassan ‘Zari’ ni ya kwake au magumashi, Risasi Mchanganyiko linakupa mchapo kamili. Diamond Plutnum akibusu tumbo la mpenzi wake Zari. TUJIUNGE NA CHANZO Kwa mujibu wa chanzo kilicho...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xkVCMRT4uG9gP9YRTDsshS4Jkf08eEHm5cJcQkorSUR5K1-ygMmU30unvr8VYBY0q6iUkVMWyyt*l585t1WXVV2Dj2l1gRJE/FRONTAMANI.jpg?width=650)
MWANAUME WA UGANDA AFUNGUKA: ZARI AMETOA MIMBA ZANGU 2
NA SIFAEL PAUL Hasira ya kibuti? Ubuyu kutoka nyumba ya jirani, Kampala nchini Uganda unaeleza kuwa mwanaume Farouk Sempala aliyewahi kuwa mpenzi wa mwandani wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ameibuka na madai mazito kuwa mwanamama huyo alichoropoa mimba zake zaidi ya mbili. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania