Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zari akikata mauno hatari ndani ya Zari all white party

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Africanjam.Com

TANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI

Tweet

Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...

 

10 years ago

Dewji Blog

Baada ya Zari All White Party, leo ni Instagram Party ndani ya Jembe Beach Mwanza Hosted by Wema Sepetu na Idirs Sultan

IMG-20150501-WA0003

Na Modewji blog team

Ikiwa siku moja tu kufanyika kwa party iliyokua ikisubiriwa kwa hamu Zari All White party kufanyika jijini Dar es Salaam na kuandaliwa na  Zari  the Boss Lady, mchumba wa mwanamuziki nyota nchini, Diamond Platnumz ‘Chibu Dangote’, Kwa upande wake  mpenzi wa zamani staa huyo, Wema Sepetu Jumamosi ya leo Mei 2, wanafanya bonge la shoo  ijulikanayo kama ‘Instagram Party Mwanza, ndani ya jiji la Mwanza, katika kiota cha Jembe ni Jembe Club,  akiwa na Mshindi wa Big Brother...

 

10 years ago

GPL

VODACOM TANZANIA YAZINDUA PROGRAMU YA MZIIKI NDANI YA ZARI WHITE PARTY

Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa (katikati) akimsikiliza jambo Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platinumz (kulia) na balozi wa Mziiki ambayo ni programu ya simu za mkononi (mobile app) ya Vodacom  Tanzania iliyozinduliwa jana wakati wa Zari White Party iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam jana. Msanii wa muziki wa Bongo Flavor Diamond...

 

10 years ago

GPL

USIKU WA ZARI ALL WHITE PARTY ULIVYOFANA NDANI YA MLIMANI CITY JIJINI DAR

Diamond Platnumz akimbusu mpenzi wake Zari katika usiku wa Zari All White Party ndani ya Mlimani City usiku huu. Zari na Diamond katika pozi ndani ya Mlimani City. Zari na Diamond wakati wakiingia ukumbini usiku huu. (PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS /…

 

10 years ago

Vijimambo

Maandalizi ya Zari All White Party

Je wewe umesha andaa kiwalo?? Hivi ndiyo mdau anavyo jiandaa na Zari All white Party

 

10 years ago

TheCitizen

The Zari All White Party a celebrity affair

>After all the talk and sometimes what almost got close to sheer jealousy, the Zari ‘All White Party’ is here.

 

10 years ago

Vijimambo

BENJA NAE HAKUPITWA ZARI ALL WHITE PARTY

Mchekeshaji wa kijiwe cha ughaibuni Benja (kushoto) akiwa na mama mwenye nyumba wake na rafiki yake mkubwa Jimmy wakipata ukodak moment kwenye zuria jekundu siku walipohudhuria Zari All white party jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

SHOO YA ZARI ALL WHITE PARTY YAFUNIKA JIJINI DAR

Diamond akiwachengua mashabiki kwa wimbo wake wa Nasema Nawe aliomshirikisha Malkia wa Taarab, Khadija Kopa. Malkia wa Taarab nchini, Khadija Kopa akiimba sambamba na Diamond Wimbo wa Nasema Nawe.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani