VODACOM TANZANIA YAZINDUA PROGRAMU YA MZIIKI NDANI YA ZARI WHITE PARTY
![](http://api.ning.com:80/files/lgc1mBk2yplwZhLA93Uw-DcSToOFWFZG6JWx4kis5Md5QsH-NISV6-yfPWhtRFsmnzTSxfkvgsKM2B8Iny-5ar8UlKRXiQEd/001.jpg?width=650)
Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa (katikati) akimsikiliza jambo Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platinumz (kulia) na balozi wa Mziiki ambayo ni programu ya simu za mkononi (mobile app) ya Vodacom Tanzania iliyozinduliwa jana wakati wa Zari White Party iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam jana. Msanii wa muziki wa Bongo Flavor Diamond...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-IwY9GK9gJj8/VUaA7_i76zI/AAAAAAABfhY/JClhRdI3MuQ/s72-c/IMG_9055.jpg)
MZIIKI KWA KUSHIRIKIANA NA VODACOM TANZANIA YANOGESHA ZARI ALL-WHITE PARTY
![](http://4.bp.blogspot.com/-IwY9GK9gJj8/VUaA7_i76zI/AAAAAAABfhY/JClhRdI3MuQ/s1600/IMG_9055.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-f-7r_ilM0HE/VUaA9Dx5bCI/AAAAAAABfhg/RU2vcSuhbIA/s1600/IMG_9061.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Zo78cU_bwu4/VUaBA0fvG9I/AAAAAAABfhs/-zR-WTbX6zM/s1600/IMG_9067.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/P0y0X6852Mc/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog02 May
Baada ya Zari All White Party, leo ni Instagram Party ndani ya Jembe Beach Mwanza Hosted by Wema Sepetu na Idirs Sultan
Na Modewji blog team
Ikiwa siku moja tu kufanyika kwa party iliyokua ikisubiriwa kwa hamu Zari All White party kufanyika jijini Dar es Salaam na kuandaliwa na Zari the Boss Lady, mchumba wa mwanamuziki nyota nchini, Diamond Platnumz ‘Chibu Dangote’, Kwa upande wake mpenzi wa zamani staa huyo, Wema Sepetu Jumamosi ya leo Mei 2, wanafanya bonge la shoo ijulikanayo kama ‘Instagram Party Mwanza, ndani ya jiji la Mwanza, katika kiota cha Jembe ni Jembe Club, akiwa na Mshindi wa Big Brother...
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-4AWazcB9U-I/VUONB6vGraI/AAAAAAAABbc/BDzktArlrlE/s72-c/Africanjam2.jpg)
TANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI
![](http://2.bp.blogspot.com/-4AWazcB9U-I/VUONB6vGraI/AAAAAAAABbc/BDzktArlrlE/s1600/Africanjam2.jpg)
Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...
10 years ago
GPLUSIKU WA ZARI ALL WHITE PARTY ULIVYOFANA NDANI YA MLIMANI CITY JIJINI DAR
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-jdN-keLwYUE/VUGfFqbp57I/AAAAAAAAAH0/80dSdsSudaA/s72-c/FB_IMG_1430362817479.jpg)
Maandalizi ya Zari All White Party
![](http://3.bp.blogspot.com/-jdN-keLwYUE/VUGfFqbp57I/AAAAAAAAAH0/80dSdsSudaA/s1600/FB_IMG_1430362817479.jpg)
10 years ago
TheCitizen01 May
The Zari All White Party a celebrity affair
10 years ago
Vijimambo08 May
BENJA NAE HAKUPITWA ZARI ALL WHITE PARTY
![](https://scontent-iad.xx.fbcdn.net/hphotos-xpt1/v/t1.0-9/11181731_10204653610164952_5649682367879384411_n.jpg?oh=97e324d8535bd539c7a6a0e7568a99af&oe=55CF8146)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/NYHNgGH2bRs/default.jpg)