Lulu: Nilishalia Sana, Nishaumia Sana Lakini Kwasasa…….
Staa mrembo kutoka Bongo Movies Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameamua kutoboa kile alichokiita kama faraja yake kwa hivi sasa.
“Faraja YANGU...Nishalia sana,nishaumia sana lakini kwa sasa nikiona mmoja kati ya hawa analia au kuumia ndo kitu kinachoweza kuniumiza zaidi...!MUNGU awatunzeeee”-Lulu aliandika hayo jana usiku kwenye ukursa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya mama yake na mdogo wake.
Kufuatia andiko hilo komenti za mashabiki wengi zilielekea zaidi kumzungumzia kifo cha Steven...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uCeLa4uwiH*BpxIw-YSFZolJgJ0WprlwznZuyGY-X0MB2O2DqlOGmZUAZ0G2Z6UNBXJouG3-KehIUICb5I7iYOllwIcigClZ/7921084_orig.jpg?width=650)
NJIA PANDA, WANAHUBIRI SANA AMANI NA UTULIVU LAKINI...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BKb27P3JwiHy*FejEQOHiALg1hLn9e6csUZDOlh0EyTwU8EjQitxtQ8U9FN4fJpSfUxw1oCWSZjUwx1OFR*gkZgCo*NFctfS/blackmaneatingfruit.jpg?width=650)
NI VIDOGO SANA LAKINI VINAWEZA KULINOGESHA PENZI LENU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sNGui7dfNNZf4K7e-oul7dVM04Zj2V8UTE-zW*S*Ph8AJcSBvzw01f3PE2azpywU8cPduWWg8342ZFksUgbHJSnYN1ZxitNV/lulu.jpg?width=650)
LULU: KUHOGWA NOMA SANA
10 years ago
Bongo Movies26 May
Picha: Hizi za Lulu Zimependwa Sana Leo Huko INSTA
Baada ya kuifunga akaunti yake kwenye mtandao picha wa Instagram iliyokuwa na followers zaidi ya laki nne, na kuamua kufungua tena akaunti kwenye mtandao huo, staa mrembo wa Bongo Movies, Elizaberth Michael ‘Lulu’ ametupia picha hizi mpya kwenye ukarara wake huo mpya unaopatikana kwa anuani ya @ elizabethmichaelofficia kitendo ambacho kimewavutia mashabiki wengi waliommiss mrembo huyo ambaye ni mpenzi wa fasheni.
Mashabiki wengi wamemsifia kwa kutokeleza bomba na kuonyesha furaha zao kwa...
10 years ago
Bongo Movies16 Apr
INASIKITISHA SANA: Mwanadada LULU afiwa na mpenzi wake LEO siku ya birthday yake
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mwanadada Elizabeth Michael – LULU ambaye leo anatimiza miaka 20 ya kuzaliwa amepata piga jingine baada ya kufiwa na mpezi wake aliyefahamika kwa jina la Seki (Pichani) aliyekuwa akiishi jijini Mwanza.
Badi hatujapata taarifa kamili juu ya sababu ya kifo chake ila tutaendelea kuwajulisha pindi zitakapotufikia.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina.
Pole sana Lulu. Mungu akutie nguvu.
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
PICHA: Tazama picha tano (5) kali sana za mwanadada Elizabeth Michael a.k.a LULU. Utazipenda.
Picha kwa hisani ya blog ya http://www.domozege.blogspot.com