LULU: KUHOGWA NOMA SANA
![](http://api.ning.com:80/files/sNGui7dfNNZf4K7e-oul7dVM04Zj2V8UTE-zW*S*Ph8AJcSBvzw01f3PE2azpywU8cPduWWg8342ZFksUgbHJSnYN1ZxitNV/lulu.jpg?width=650)
Stori: Imelda Mtema ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amewaasa wasichana wenzake kujitahidi kujishugulisha na kazi mbalimbali kuingiza ‘chapaa’ na wasiendekeze kuhongwa fedha na mapedeshee kwani ni aibu. Diva wa filamu za kibongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa kwenye pozi tofauti. Akistorisha na paparazi wetu pasipo kuweka wazi kama alishawahi kuhongwa au la, Lulu alitiririka:… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies07 Apr
Lulu: Nilishalia Sana, Nishaumia Sana Lakini Kwasasa…….
Staa mrembo kutoka Bongo Movies Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameamua kutoboa kile alichokiita kama faraja yake kwa hivi sasa.
“Faraja YANGU...Nishalia sana,nishaumia sana lakini kwa sasa nikiona mmoja kati ya hawa analia au kuumia ndo kitu kinachoweza kuniumiza zaidi...!MUNGU awatunzeeee”-Lulu aliandika hayo jana usiku kwenye ukursa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya mama yake na mdogo wake.
Kufuatia andiko hilo komenti za mashabiki wengi zilielekea zaidi kumzungumzia kifo cha Steven...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qeusznqd6YkDHF3Uj74-bi2PIlNWM1np0*IGIIIz8RYYgUQToVCtvDiRKulOC0TyQqsjrvsmh5E7G9ESKdKtDXiwiZggdNgQ/Mkopo.gif?width=650)
MKOPO NOMA SANA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ve0GOSCWJah-eT2cUuhmkjZYLf7BErsIjEl86VCu37o5lbpgTaEGn1FTPXQt0bP3tgZ8*7YYY0visSHVAAJVQlE9z7bBZYTm/GHGFDFGG.jpg)
Mghana mpya Simba noma sana