Mghana mpya Simba noma sana
![](http://api.ning.com:80/files/ve0GOSCWJah-eT2cUuhmkjZYLf7BErsIjEl86VCu37o5lbpgTaEGn1FTPXQt0bP3tgZ8*7YYY0visSHVAAJVQlE9z7bBZYTm/GHGFDFGG.jpg)
Mshambuliaji wa Simba raia wa Ghana, Aboagye Gerson. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge WAKATI mchakato wa usajili wa kimyakimya ukiendelea kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, Simba jana ilimshusha mshambuliaji raia wa Ghana, Aboagye Gerson aliyekuwa anakipiga Klabu ya Zhako ya Iraq. Ujio wa Mghana huyo ni mipango ya kukiboresha kikosi hicho katika kuelekea msimu ujao baada ya Kocha Mkuu wa Simba, Goran Kopunovic kutoa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers01 Jan
Shoo ya Utangulizi Mkesha wa Mwaka Mpya Dar Live noma sana!
Malaika Band wakikamua shoo ya utangulizi ndani ya Dar Live.
Makamuzi yakiendelea
….mpiga Drama akifanya yake.
….mpiga gita naye akitoa vionjo vyake.
Nyomi waliofika Dar Live kushuhudia shoo ya kufunga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka 2016
Shabiki maarufu wa Yanga, Mama Tunu akicheza jukwaani wakati wa shoo hiyo.
Mashabiki wakijiachia jukwaani
…ni full kijiachia kuukaribisha 2016.
PICHA NA DENIS MTIMA/GPL
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qeusznqd6YkDHF3Uj74-bi2PIlNWM1np0*IGIIIz8RYYgUQToVCtvDiRKulOC0TyQqsjrvsmh5E7G9ESKdKtDXiwiZggdNgQ/Mkopo.gif?width=650)
MKOPO NOMA SANA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sNGui7dfNNZf4K7e-oul7dVM04Zj2V8UTE-zW*S*Ph8AJcSBvzw01f3PE2azpywU8cPduWWg8342ZFksUgbHJSnYN1ZxitNV/lulu.jpg?width=650)
LULU: KUHOGWA NOMA SANA