MKOPO NOMA SANA
Boniphace ngumije Mkopo noma! Mfanyabiashara maarufu, Mohamed Majid Seif, mkazi wa Mikocheni A, Kinondoni jijini Dar, ametolewa vitu ndani ya nyumba yake namba A35/210 baada ya kushindwa kulipa mkopo wa Sh. Milioni 210 aliouchukua kwenye Benki ya Boa (Bank Of Africa) mwaka 2011. Â ....Soma zaidi===>http://goo.gl/XTPP3F
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLLULU: KUHOGWA NOMA SANA
Stori: Imelda Mtema
ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amewaasa wasichana wenzake kujitahidi kujishugulisha na kazi mbalimbali kuingiza ‘chapaa’ na wasiendekeze kuhongwa fedha na mapedeshee kwani ni aibu. Diva wa filamu za kibongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa kwenye pozi tofauti. Akistorisha na paparazi wetu pasipo kuweka wazi kama alishawahi kuhongwa au la, Lulu alitiririka:… ...
10 years ago
GPLMghana mpya Simba noma sana
Mshambuliaji wa Simba raia wa Ghana, Aboagye Gerson. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
WAKATI mchakato wa usajili wa kimyakimya ukiendelea kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, Simba jana ilimshusha mshambuliaji raia wa Ghana, Aboagye Gerson aliyekuwa anakipiga Klabu ya Zhako ya Iraq. Ujio wa Mghana huyo ni mipango ya kukiboresha kikosi hicho katika kuelekea msimu ujao baada ya Kocha Mkuu wa Simba, Goran Kopunovic kutoa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania