Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Hizi za Lulu Zimependwa Sana Leo Huko INSTA

Baada ya kuifunga akaunti yake kwenye mtandao picha wa Instagram iliyokuwa na followers zaidi ya laki nne, na kuamua kufungua tena akaunti kwenye mtandao huo, staa mrembo wa Bongo Movies, Elizaberth Michael ‘Lulu’ ametupia picha hizi mpya kwenye ukarara wake huo mpya  unaopatikana kwa anuani ya @ elizabethmichaelofficia kitendo ambacho kimewavutia mashabiki wengi waliommiss mrembo huyo ambaye ni mpenzi wa fasheni.

Mashabiki wengi wamemsifia kwa kutokeleza bomba na kuonyesha furaha zao kwa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Picha: Hizi za Lulu Za Sababisha Mafuriko Huko INSTA

Picha za staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa ametupia kimamtoni zimesababisha mafuriko ya LIKES na COMMENTS kwenye ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram hiyo jana mara baada ya kuzibandika.

Wengi wamefunguka na kummwagia sifa nyingi kwa jinsi alivyotokelezea na mapigo hayo.

“Pale unapokumbuka huna safari ya Ulaya Leo wala Kesho...!Unaamua Kujigeuza RIHANNA na kukatisha mitaa yako ya HOLLYWOOD ki roho....
Yani hapa ndo nishajikuta HOLLYWOOD sitaki Maswali wala...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha:Siku ya Leo Hizi za Kidoti Zimependwa na Wengi

Picha za mrembo anaefanya vitu vingi hapa mjini kuanzia mitindo, utangazaji,ujasiliamali  hadi uimbaji wa muziki,  Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ alizozitupia leo kwenye ukurasa wake wa mtandaoni zimepokea’ LIKES’ na COMMENTS kutoka kwa wadau na mashabiki wa kike na wakiume huu kila mmoja akisema lake juu ya picha hizo.

Yote kwa yote Kidoti hapo ametokelezea ile sana, kwa upande wetu hizi za Kidoti ndio picha bomba  zaidi kwa siku ya leo kati ya za mastaa wote wa  Bongo Movies.

Tupia mtazamo wako...

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA:Tatu za Watatu Hawa Zimependwa Sana Mtandaoni

UZURI HAUJIFICHI: Hawa ni miongoni mwa warembo kwenye tasnia pendwa na wadada wengi hapa nchini, tasnia ya filamu za kibongo.Wakiwa kwenye “pozi” moja lakini katika “moment” tatu tofauti.Warembo hawa, Jackline Masawe “Wolper”, Kajala Masanja na Irene Uwoya walidondosha picha  hizi tatu mtandaoni juzi kati, nakufanya mashabiki kumwaga “likes” za kutosha  huku kila mtu aki-“comment” kile anachoona inafaa ilimradi kuelezea hisia na mtazamo wake.

Wengi waliwapenda na kuwasifia wote, lakini...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZINAZOSEMA AINA YA KIONGOZI TUNAYEMUHITAJI,PICHA HIZI ZINAZUNGUMZA MENGI SANA.

Mwigulu akisikiliza kwa makini maombi ya Bibi huyu(Hakufahamika jina) katika kijiji cha Kibaya Jimboni Iramba.Mh.Mwigulu Nchemba akimsikiliza kwa makini mmoja ya wazee katika kijiji cha Mtekente Jimboni Iramba.Mh:Mwigulu Nchemba akisikiliza kwa makini hitaji la kijana huyu mlemavu wa miguu kijiji cha Songa-Iramba.Mapenzi kwa Watoto.Mwigulu akimsikiliza Mwananchi wake Mwenye Ulemavu wa Miguu."NIsaidie Mbunge wangu,Baiskel imechoka"MBunge akimsikiliza Mwananchi wake.Mwananchi wa kijiji cha...

 

11 years ago

Bongo Movies

PICHA: Tazama picha tano (5) kali sana za mwanadada Elizabeth Michael a.k.a LULU. Utazipenda.

Picha kwa hisani ya blog ya http://www.domozege.blogspot.com

 

10 years ago

Vijimambo

PITIA HIZI PICHA NA CHUKUA TAADHALI HUKO BARABARANI



Kwa mtaji huu basi ndugu zetu wanaendelea kufupishwa maisha kila siku dreva wa basi anaona kabisa hapa kuna mlima na kuna kona  lakini bado ana ladhimisha kumpita mwenzie bila kujali usalama wa abiria ndani ya basi.
Hapa dreva wa basi anachokifanya ni uvunjaji wa sheria bila hata kujali watu waliondani ya basi hili
Madreva kama awa ni hatari sana kwa usalama wa abiria pata picha hapa nini kingetokea na basi hili la abiria na gari hili ndogo.

 

10 years ago

Bongo5

Lulu anajaribu ‘kubreak the Internet’ kibongobongo kwa picha hizi

Elizabeth ‘Lulu’ Michael anajiribu kufanya kile alichofanya Kim Kardashian ‘Break the Internet’ katika level ya kibongo. Hata hivyo tofauti na Kim, Lulu hajaonesha umbo lake kama lilivyo japo picha zimewavutia wengi. Jionee.

 

9 years ago

Bongo Movies

Lulu: Mastaa Mtaishia Kuchambana Insta

ZA uso laivu! Staa mwenye mvuto Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa mastaa wengi Bongo wataishia kuchambana kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram badala ya kutafuta elimu ili siku moja wapate nyadhifa serikalini.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Lulu alisema kwamba, amegundua kuwa elimu ndiyo kila kitu hivyo amewasihi mastaa wenzake waache kuchambana na kutuma picha kwenye mitandao ya kijamii badala yake watafute njia ya kujikwamua kielimu.

“Jamani mmemuona...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani