Lulu: Mastaa Mtaishia Kuchambana Insta
ZA uso laivu! Staa mwenye mvuto Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa mastaa wengi Bongo wataishia kuchambana kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram badala ya kutafuta elimu ili siku moja wapate nyadhifa serikalini.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Lulu alisema kwamba, amegundua kuwa elimu ndiyo kila kitu hivyo amewasihi mastaa wenzake waache kuchambana na kutuma picha kwenye mitandao ya kijamii badala yake watafute njia ya kujikwamua kielimu.
“Jamani mmemuona...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies18 Nov
Lulu Afungukia Mimba Yake Iliyonzia Insta
HAPA NA PALE: Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewaponda baadhi ya watu ambao hupenda kuvumisha mambo hasa kupitia mtandao picha wa Instagram kuhusiana na habari zizilosambaa siku za nyuma kuwa staa huyo ana ujauzito huku picha hiyo hapo juu ikitumika kuonyesha mimba yenyewe.
“Mimba yangu hii ilianzia Insta ikaishia insta. Pale unapoamua kufanya project zako binafsi na viungo vyako.Mana watu wakufanya nao project wameisha...wote washafanya project na washafanywa...
9 years ago
Bongo Movies20 Sep
Picha: Hizi za Lulu Za Sababisha Mafuriko Huko INSTA
Picha za staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa ametupia kimamtoni zimesababisha mafuriko ya LIKES na COMMENTS kwenye ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram hiyo jana mara baada ya kuzibandika.
Wengi wamefunguka na kummwagia sifa nyingi kwa jinsi alivyotokelezea na mapigo hayo.
“Pale unapokumbuka huna safari ya Ulaya Leo wala Kesho...!Unaamua Kujigeuza RIHANNA na kukatisha mitaa yako ya HOLLYWOOD ki roho....
Yani hapa ndo nishajikuta HOLLYWOOD sitaki Maswali wala...
10 years ago
Bongo Movies26 May
Picha: Hizi za Lulu Zimependwa Sana Leo Huko INSTA
Baada ya kuifunga akaunti yake kwenye mtandao picha wa Instagram iliyokuwa na followers zaidi ya laki nne, na kuamua kufungua tena akaunti kwenye mtandao huo, staa mrembo wa Bongo Movies, Elizaberth Michael ‘Lulu’ ametupia picha hizi mpya kwenye ukarara wake huo mpya unaopatikana kwa anuani ya @ elizabethmichaelofficia kitendo ambacho kimewavutia mashabiki wengi waliommiss mrembo huyo ambaye ni mpenzi wa fasheni.
Mashabiki wengi wamemsifia kwa kutokeleza bomba na kuonyesha furaha zao kwa...
10 years ago
GPLAUNT LULU AKIRI MASTAA KUJIUZA MITANDAONI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hpMD5afDfdaey0GJlNkSjXbqV1bEGkG2xg324epB5GpnuZ5dH5rtj8pQFmrPqwnV9N5Yx-eSGpW86PZflkj*1kvtRhqlwnO6/lulu.jpg)
SKENDO YA MASTAA KUHONGWA MAGARI: LULU AANDIKA HISTORIA
9 years ago
Bongo528 Oct
Lulu akerwa na headline ya gazeti ‘Mastaa waliozaa watoto wenye sura mbaya’
9 years ago
Bongo Movies31 Dec
Ray Awapa Makavu Wanaofatilia Maisha ya Watu Insta
![Ray](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2015/12/RAY32.png)
Ray
Ray ameandika haya kwenye ukurasa wake Instagram.
“Kijana mwenzangu mwaka ndio huo unaisha inama tafakari nini ulichokifanya mwaka huu,je ulichokipanga kimefanikiwa kwa asilimia ngapi au kazi yako ilikuwa nikuangaika na maisha ya watu kwenye insta?
Wenzako wanapiga hatua kumi mbele wewe unapiga hatua kumi nyuma. ujachelewa achana na maisha ya watu pambana na maisha yako ..(life is all about the money.)”
Nadhani Ujumbe umefika.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxY86mIhSd1SkilbzSd1sHMUhbJLy3nt4AkE-9m2oiCzgzDfjO5mZUemaejGaS1vIRh-d9BPEXH*Ma5pOUp424Oj/CATHY.jpg?width=650)
ISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
LULU: Mimi ni Mchamungu,Mwenye Matarajio Makubwa Maishani…That’s Lulu
"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "
Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.