SKENDO YA MASTAA KUHONGWA MAGARI: LULU AANDIKA HISTORIA

Stori: SHAKOOR JONGO Limekuwa ni jambo la kawaida kwa baadhi ya mastaa wa Kibongo kuonesha au kupiga picha anaponunua gari jipya huku suala la kuonesha kadi ya gari likiwa gumu na ahadi zisizokwisha lakini mwigizaji ‘sexy’ mwenye mvuto kwenye tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameandika historia ya tofauti. Mwigizaji ‘sexy’ mwenye mvuto kwenye tasnia ya filamu Bongo,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
SHAMSA AJITETEA SKENDO YA KUHONGWA SIMU
10 years ago
GPL
WASTARA AANDIKA HISTORIA
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
Niler aandika historia Tanzania Top Model
MWANAMITINDO Niler Mruma (21), amefanya kisichotarajiwa na wengi baada ya kunyakua mataji yote matatu yaliyokuwa yakigombewa kwenye shindano la kwanza la Tanzania Top Model lililofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni...
10 years ago
Bongo Movies14 Mar
Lulu : Kuhongwa ni Presha Tu!
UBUYU: Mrembo na staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ ametoboa kuwa fedha za kuhongwa na wanaume ni nzuri lakini zina presha kubwa kwa msichana aliyepewa.
Lulu alisema kuwa wasichana walio wengi wanapenda kupokea fedha na vitu mbali mbali kutoka kwa wanaume lakini changamoto kubwa inayowakuta ni namna ya kulipa fadhila ya walivyopewa
" vitu vya kuhongwa ni vizuri lakini vina presha kubwa katika suala la kulipa fadhila kwani msichana unalazimika kufanya kila aina ya ujuacho ili...
11 years ago
Dewji Blog22 Aug
Rais Kikwete aandika historia: Aanzisha ujenzi Daraja la Kilombero
Magari yakivuka juu ya daraja la muda la Mto Kilombero lililojengwa kurahisisha kazi za ujenzi wa daraja la kudumu katika wilaya ya Kilombero Mkoa wa Morogoro, wakati wa sherehe za uwekaji jiwe la msingi wa ujenzi wa darajan hilo na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Agosti 20, 2014.
Historia imeandikwa Jumatano, Agosti 20, 2014 katika Mkoa wa Morogoro na katika Tanzania. Kwa mara ya kwanza tokea enzi na enzi, magari yameweza kuvuka Mto wa Kilombero, moja ya mito mikubwa zaidi nchini, mpakani mwa...
11 years ago
Vijimambo
KINANA AANDIKA HISTORIA TANGA AFANYA MKUTANO KUBWA ULIOJAA KULIKO KAWAIDA
Awaambia wana Tanga uchumi wao upo kwenye bandari na treniAsisitiza kuwajibika kwa viongozi walioshindwa kutimiza malengo yaoAwataka wananchi kuchagua viongozi bora ambao wataheshimu mawazo yao kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vitongoji.


10 years ago
Vijimambo
LULU ASEMA NYUMBA ALIYOMZAWADIA MAMA YAKE SI YA KUHONGWA, AMEJENGA KWA MIAKA MINNE

Lulu alimpa zawadi hiyo mama yake kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa January, 2015. Je Lulu aliwezaje kufanya mambo makubwa kama hayo katika umri mdogo na kwa kipato cha kuigiza peke yake? Hayo ni maswali ambayo wengi walijiuliza, kiasi cha kuwafanya wengine waamini kuwa labda amehongwa.Lulu amesema...
10 years ago
GPL
MASTAA WANAOONGOZA KWA SKENDO ZA NGONO