MASTAA WANAOONGOZA KWA SKENDO ZA NGONO
![](http://api.ning.com:80/files/tmqA3rmqdgbRJrEayqaOsjNNNJ4xs382mmhb0T-ktkljcGKlH74khofRW1Q5eL1-Bns5nAciwuyT9GBcE-aa15uBxCqnItew/MASTAA.jpg?width=650)
Mwandishi wetu Mastaa mbalimbali wa Bongo wamekuwa wakiandamwa na skendo huku baadhi wakiona ndiyo njia ya kujing’arisha kisanii.Skendo zao zimekuwa za aina mbalimbali lakini wengi wamekuwa wakiandamwa na skendo za ngono.Katika makala haya utaipata Top 10 ya mastaa wa kike waliondamwa na skendo za ngono. Baadhi wamekumbwa na skendo za kunaswa kwenye mitego ya kujiuza na wengine wakiingia kwenye listi hii kutokana na...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Mastaa waliotikisa kwa skendo za mapenzi 2015
Mladness Mallya
MWAKA unaelekea ukingoni, kuna mengi yametokea ndani ya mwaka huu wa 2015 katika jamii yakiwemo mazuri na mabaya.
Kama ilivyo kawaida katika ulimwengu wa mastaa hakukosekani vituko vya hapa na pale, leo katika makala haya tunakuletea mastaa mbalimbali waliotikisa kwa skendo za mapenzi, yaani waliokuwa na misuguano na wengine kutajwa kubadili wapenzi kila kukicha.
DIAMOND NA ZARI
Staa huyu wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mzazi mwenziye Zarinah Hassan ‘Zari,’...
10 years ago
Bongo Movies27 Apr
Mastaa Wanaoongoza Kutukana\Kutukanwa Mtandaoni
Imekuwa ikielezwa kuwa wasanii ni kioo cha jamii. Kwa maana hiyo wanatakiwa kufanya mambo ambayo yanaweza kuigwa na wale wanaowatazama. Hata hivyo, maisha wanayoishi baadhi ya wasanii hayaakisi msemo huo.
Wengi wamekuwa wakikumbwa na skendo mbalimbali zinazowafanya wasiwe na vigezo vya kuitwa kioo cha jamii.
Miongoni mwa mambo yanayowafanya wakati mwingine wadharaulike ni kutoa maneno machafu, ‘live’ au kupitia kwenye mitandao ya kijamii.
Katika makala haya nitawazungumzia mastaa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vnQhPUwEod3e035iKjaYlglg5bjf22KpzDjWYT*8FL4AJ4g6N0aqNH0UrXWtPCN6jHoX2wsDHVsUmjS0HbzXIEbaAXIj0XfI/mastaacopy.jpg1.jpg?width=650)
KAZI IPO!!! MASTAA WANAOONGOZA KUTUKANA\KUTUKANWA MTANDAONI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Dyivh8oZtEwVpjb4YaAeUk0WJSL6jIKlOWUEgh43Ezy3qPMTHAVSpwa9bWcDLdi*hY*lQ2BJpqmqVhHnaZ7Il9FnlYBPd8Qj/FRONTRISASI.gif?width=650)
WEMA: SKENDO ZA NGONO BASI!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hpMD5afDfdaey0GJlNkSjXbqV1bEGkG2xg324epB5GpnuZ5dH5rtj8pQFmrPqwnV9N5Yx-eSGpW86PZflkj*1kvtRhqlwnO6/lulu.jpg)
SKENDO YA MASTAA KUHONGWA MAGARI: LULU AANDIKA HISTORIA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KfEqIWZTt63jfGYm7XyGmEGaugo*aqvYCMPZPf0VaIgUjNj8-KJm6ORsBEKniEjuFi7dMacnse3-t2aX7qbUjdAPdXc1ciyW/242copy.jpg?width=650)
MASTAA WENYE NYOTA ZA NGONO!
10 years ago
Bongo526 Feb
Mastaa wenzangu wengi wananifata tufanye skendo ili biashara iwe nzuri — Rich Mavoko
10 years ago
Bongo Movies18 Mar
Mdau: Hawa Ndio Wanawake wa 5 Wanaoongoza kwa Uzuri Bongo Movie
Katika game ya Bongo Movie wapo wanawake wengi sana waliojaaliwa uzuri wa sura na maumbo kupitia maoni ya watu kadhaa nimepata list fupi ya wadada watano ambao ni warembo na wenye mvuto zaidi nao ni 1.WELU SENGO,2.YOBNESH YUSUPH(BATULI),3.WEMA SEPETU,4.ELIZABETH MICHAEL (LULU) ,5.IRENE UWOYA. Orodha hii ni kwa maoni ya watu niliozungumza nao na mimi mwenyewe toa maoni yako.
By Iron Finger on JF
Na wewe kama mdau una nafasi ya kutuandikia chochote kinachohusu Bongo Movies na sisi tutakileta...