Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mastaa waliotikisa kwa skendo za mapenzi 2015

Diamond platinumz (2)Mladness Mallya

MWAKA unaelekea ukingoni, kuna mengi yametokea ndani ya mwaka huu wa 2015 katika jamii yakiwemo mazuri na mabaya.

Kama ilivyo kawaida katika ulimwengu wa mastaa hakukosekani vituko vya hapa na pale, leo katika makala haya tunakuletea mastaa mbalimbali waliotikisa kwa skendo za mapenzi, yaani waliokuwa na misuguano na wengine kutajwa kubadili wapenzi kila kukicha.

DIAMOND NA ZARI

Staa huyu wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mzazi mwenziye Zarinah Hassan ‘Zari,’...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MASTAA WANAOONGOZA KWA SKENDO ZA NGONO

Mwandishi wetu
Mastaa mbalimbali wa Bongo wamekuwa wakiandamwa na skendo huku baadhi wakiona ndiyo njia ya kujing’arisha kisanii.Skendo zao zimekuwa za aina mbalimbali lakini wengi wamekuwa wakiandamwa na skendo za ngono.Katika makala haya utaipata Top 10 ya mastaa wa kike waliondamwa na skendo za ngono. Baadhi wamekumbwa na skendo za kunaswa kwenye mitego ya kujiuza na wengine wakiingia kwenye listi hii kutokana na...

 

10 years ago

GPL

MASTAA WADOGO ‘VISU’ WALIOTIKISA WAKONGWE!

Staa wa Bongo, Wema Sepetu. Na Mwandishi wetu
Kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo utakubaliana na mimi kwamba, wapo mastaa wa kike ambao wana maumbile madogo na umri wao ni mdogo pia lakini ni wakali ‘visu’ kiasi cha kuwakosesha amani mastaa wakubwa. Yaani kimaumbile unaweza kusema ni watoto flani hivi lakini cha ajabu mambo yao ni makubwa na wanamudu kuwaweka viganjani wanaume wenye midevu yao na wakatulia. ...

 

10 years ago

GPL

SKENDO YA MASTAA KUHONGWA MAGARI: LULU AANDIKA HISTORIA

Stori: SHAKOOR JONGO
Limekuwa ni jambo la kawaida kwa baadhi ya mastaa wa Kibongo kuonesha au kupiga picha anaponunua gari jipya huku suala la kuonesha kadi ya gari likiwa gumu na ahadi zisizokwisha lakini mwigizaji ‘sexy’ mwenye mvuto kwenye tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameandika historia ya tofauti. Mwigizaji ‘sexy’ mwenye mvuto kwenye tasnia ya filamu Bongo,...

 

10 years ago

Bongo5

Mastaa wenzangu wengi wananifata tufanye skendo ili biashara iwe nzuri — Rich Mavoko

Rich Mavoko ni miongoni mwa wasanii ambao wamekwepa kuwa mitaji ya magazeti ya udaku kutokana na kujiweka mbali na skendo. Staa huyo wa ‘Pacha Wangu’ amekiri kuwa amekuwa akifatwa na wasanii wenzake maarufu waliomtaka kufanya naye skendo. Mavoko ameelezea sababu za kukataa kutengeneza skendo ili kukuza biashara yake ya muziki. “Mi nafikiri hatuwezi tukawa sawa, […]

 

9 years ago

MillardAyo

Hizi ndio style 8 za nywele walizotamba nazo mastaa wa soka kwa mwaka 2015

Haya mtu wangu wa nguvu wakati tunaendelea kusherehekea sikuku ya mwaka mpya 2016, ninayo list ya style 9 za nywele zilizotamba kwa mastaa wa soka wa Ulaya kwa mwaka 2016. Stori kutoka 101greatgoals.com inawatala mastaa hawa ndio waliokuwa na style za nywele zilizotamba. Miongoni mwa mastaa waliotajwa ni Iniesta,  Raheem Sterling na Paul Pogba. 1- […]

The post Hizi ndio style 8 za nywele walizotamba nazo mastaa wa soka kwa mwaka 2015 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Wanawake 22 waliotikisa majimboni

Wanawake 22 waliogombea ubunge katika majimbo mbalimbali nchini wameshinda kwenye kinyanga’anyiro hicho kilichokuwa na mchuano mkali.

 

9 years ago

GPL

MASTAA NA UCHAGUZI 2015

Na Shani Ramadhani: Kulwa Kikumba ‘Dude’ Kampeni zinaendelea vizuri katika kila upande na hata yale maneno yanayoongelewa ni utani kama ule uliop kwenye timu za mpira wa Yanga na Simba, changamoto kubwa iliyopo ni kwa wapiga kura kwa sababu wanatakiwa kuangalia sera muhimu kama afya na elimu kutoka kwa wagombea wao. Fatuma Ayubu ‘Bozi’ Kwangu naona muelekeo wa kampeni ni mzuri lakini tunaomba hali ya...

 

10 years ago

GPL

KHLOE: TUNACHAFULIWA KWA SKENDO YA UNGA

Host wa Kipindi cha The Kardashians, Khloe Kardashian. New York, Marekani
HOST wa Kipindi cha The Kardashians, Khloe Kardashian ameamua kufungukia skendo ya dawa za kulevya ambayo imeikumba familia yake. Awali ilidaiwa kuwa, kwenye pati waliyofanya akina Khloe yenye nia ya kuwapongeza Kendall Jenner na Kylie Jenner kwa kuhitimu masomo yao, wapo watu waliovuta madawa ya kulevya.Kufuatia madai hayo,Khloe… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani