Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASTAA NA UCHAGUZI 2015

Na Shani Ramadhani: Kulwa Kikumba ‘Dude’ Kampeni zinaendelea vizuri katika kila upande na hata yale maneno yanayoongelewa ni utani kama ule uliop kwenye timu za mpira wa Yanga na Simba, changamoto kubwa iliyopo ni kwa wapiga kura kwa sababu wanatakiwa kuangalia sera muhimu kama afya na elimu kutoka kwa wagombea wao. Fatuma Ayubu ‘Bozi’ Kwangu naona muelekeo wa kampeni ni mzuri lakini tunaomba hali ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MASTAA WAZUNGUMZIA UCHAGUZI

Na Gladness Mallya IKIWA kesho Jumapili ndiyo siku ya uchaguzi mkuu ambapo Watanzania wataamua nani awe rais wao, mastaa mbalimbali wamezungumza na Risasi Jumamosi kueleza walivyojiandaa na uchaguzi huu ambao unaonekana kuwa na changamoto nyingi kuliko nyingine zote zilizopita: AMANDA POSHI Uchaguzi wa mwaka huu ni wa tofauti sana na zilizopita maana Watanzania wengi wana mihemko na hamu sana kutokana na ushindani mzito uliopo,...

 

10 years ago

GPL

URAIS 2015: MASTAA WAWATAJA MARAIS

Na Shakoor Jongo TANZANIA mwakani itaingia kwenye Uchaguzi Mkuu 2015, rais atakayeingia madarakani kuiongoza nchi atajulikana hapo huku tayari baadhi ya wanasiasa wametangaza nia ya kugombea, wengine wanatajwatajwa kufanya hivyo. Baadhi ya viongozi wanaotabiriwa na Mastaa wa Bongo Movie kuwa marais kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 Sasa kuelekea uchaguzi huo ambao pia utajumuisha ubunge na udiwani, baadhi ya mastaa Bongo...

 

9 years ago

Global Publishers

Mastaa waliotikisa kwa skendo za mapenzi 2015

Diamond platinumz (2)Mladness Mallya

MWAKA unaelekea ukingoni, kuna mengi yametokea ndani ya mwaka huu wa 2015 katika jamii yakiwemo mazuri na mabaya.

Kama ilivyo kawaida katika ulimwengu wa mastaa hakukosekani vituko vya hapa na pale, leo katika makala haya tunakuletea mastaa mbalimbali waliotikisa kwa skendo za mapenzi, yaani waliokuwa na misuguano na wengine kutajwa kubadili wapenzi kila kukicha.

DIAMOND NA ZARI

Staa huyu wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mzazi mwenziye Zarinah Hassan ‘Zari,’...

 

10 years ago

GPL

BAADHI YA MASTAA WA NIGERIA WALIOFUNGA NDOA 2015

JAPOKUWA mwaka huu wa 2015 umepita nusu yake ni mengi yametokea katika ulimwengu wa burudani ambapo waburudishaji  wengi walioanza mwaka wakiwa ‘wapweke’ hivi sasa wana wenza wao waliofunga nao ndoa na wanategemea kufanya hivyo kabla mwaka huu haujaisha. Mtandao wa Nigeriafilms.com umekuwa ukiweka kumbukumbu na sasa unaweza kuonyesha ndoa za ‘nguvu’ ambazo zimetamba katika nusu ya kwanza ya mwaka...

 

9 years ago

Global Publishers

Mastaa waliofanya siri kuficha mimba, watoto 2015

kyaka                                                                        Jenifer Kyaka.

Mayasa mariwata

MIONGONI mwa vioja vilivyotikisa mwaka 2015 ni kitendo cha baadhi ya mastaa wa filamu Bongo kuyapiga chenga madai ya kubeba mimba na kuzaa huku wengine wakificha watoto wao, kwa kutotaka waonekane sura pasipo kuwa na sababu za msingi.

Katika makala haya, yanachambua baadhi ya mastaa waliofanya hivyo;

AUNT EZEKIEL
Staa huyu asiyechuja, gumzo kubwa lilianza baada ya kupewa ujauzito na dansa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani