Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake 22 waliotikisa majimboni

Wanawake 22 waliogombea ubunge katika majimbo mbalimbali nchini wameshinda kwenye kinyanga’anyiro hicho kilichokuwa na mchuano mkali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake watakiwa kuwania uongozi majimboni

CHAMA cha Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) kimewakata wanawake wenzao kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali badala ya kusubiri nafasi za uteuzi. Kauli hiyo ilitolewa mjini hapa jana na Makamu Mwenyekiti wa chama...

 

9 years ago

Global Publishers

Mastaa waliotikisa kwa skendo za mapenzi 2015

Diamond platinumz (2)Mladness Mallya

MWAKA unaelekea ukingoni, kuna mengi yametokea ndani ya mwaka huu wa 2015 katika jamii yakiwemo mazuri na mabaya.

Kama ilivyo kawaida katika ulimwengu wa mastaa hakukosekani vituko vya hapa na pale, leo katika makala haya tunakuletea mastaa mbalimbali waliotikisa kwa skendo za mapenzi, yaani waliokuwa na misuguano na wengine kutajwa kubadili wapenzi kila kukicha.

DIAMOND NA ZARI

Staa huyu wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mzazi mwenziye Zarinah Hassan ‘Zari,’...

 

10 years ago

GPL

MASTAA WADOGO ‘VISU’ WALIOTIKISA WAKONGWE!

Staa wa Bongo, Wema Sepetu. Na Mwandishi wetu
Kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo utakubaliana na mimi kwamba, wapo mastaa wa kike ambao wana maumbile madogo na umri wao ni mdogo pia lakini ni wakali ‘visu’ kiasi cha kuwakosesha amani mastaa wakubwa. Yaani kimaumbile unaweza kusema ni watoto flani hivi lakini cha ajabu mambo yao ni makubwa na wanamudu kuwaweka viganjani wanaume wenye midevu yao na wakatulia. ...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

‘Msiwabebe wanaojipitisha majimboni’


NA MWANDISHI WETU, MUFINDI
HALMASHAURI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Mufindi, imewataka viongozi wa matawi na kata kutokubali kuwabeba baadhi ya wanachama walioanza kujipitisha kwenye majimbo, kwa lengo la kujiandaa na uchaguzi mkuu  mwakani.
Katibu wa CCM wilayani Mufindi, Miraji Mtaturu, alisema hayo wakati akisoma maazimio ya halmashauri hiyo, iliyokuwa na lengo la kupokea utekelezaji wa ilani ya uchaguzi kwa kipindi cha miezi sita iliyopita.
Alisema  ni kosa kikanuni kuanza...

 

10 years ago

Mwananchi

Moto wawaka majimboni

Wakati ikiwa imesalia siku chache kabla ya kipenga cha kuruhusu wananchi kujitokeza kuwania urais, ubunge na udiwani, moto unawaka kwenye majimbo mbalimbali ambako wabunge wanapigana vikumbo na watu wanaoonekana kutaka kuwarithi.

 

9 years ago

Habarileo

Mtifuano Ukawa wakolea majimboni

SIKU chache baada ya uongozi wa NLD mkoani Mtwara kudai hautambui mpango wa kuachiana majimbo unaohubiriwa na viongozi wakuu wa umoja wa vyama vinne vya upinzani, hali si shwari katika Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, baada ya Chadema na CUF, kila kimoja kusimamisha mgombea wake jimboni humo.

 

10 years ago

Habarileo

Takukuru kusambaza makachero majimboni

Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dk Edward HoseaTAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) inatarajia kusambaza vijana wa kazi katika majimbo yote nchini, kuwashughulikia wote walioonesha nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uchaguzi, ambao wanatoa rushwa ili kupata wafuasi.

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge waweka kambi majimboni

>Baada ya kumalizika mkutano wa 18 wa Bunge Jumamosi iliyopita, wabunge wengi wamekimbilia kwenye majimbo yao hatua inayohusishwa na homa ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge wanawajibika kuimarisha elimu majimboni?

Hali ya elimu katika maeneo mengi nchini siyo nzuri. Kinachosikitisha ni kuwa baadhi ya maeneo hayo yanasimamiwa na wabunge waliojipambanua kwa uhodari na umahiri wao wa kujenga hoja bungeni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani