Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Moto wawaka majimboni

Wakati ikiwa imesalia siku chache kabla ya kipenga cha kuruhusu wananchi kujitokeza kuwania urais, ubunge na udiwani, moto unawaka kwenye majimbo mbalimbali ambako wabunge wanapigana vikumbo na watu wanaoonekana kutaka kuwarithi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Moto wawaka chama tawala CCM Tanzania

Watanzania kumjua ni nani atakayekuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mkuu ujao

 

10 years ago

Dewji Blog

Moto wawaka ndani ya Lindi wakati Mheshimiwa Bernard Membe akitangaza nia ya kugombea urais 2015

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwapungia mkono umati wa wana CCM na wakazi wa Lindi katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa, wakati alipotangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba. (Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog).

Wananchi wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard...

 

9 years ago

Mwananchi

Wanawake 22 waliotikisa majimboni

Wanawake 22 waliogombea ubunge katika majimbo mbalimbali nchini wameshinda kwenye kinyanga’anyiro hicho kilichokuwa na mchuano mkali.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

‘Msiwabebe wanaojipitisha majimboni’


NA MWANDISHI WETU, MUFINDI
HALMASHAURI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Mufindi, imewataka viongozi wa matawi na kata kutokubali kuwabeba baadhi ya wanachama walioanza kujipitisha kwenye majimbo, kwa lengo la kujiandaa na uchaguzi mkuu  mwakani.
Katibu wa CCM wilayani Mufindi, Miraji Mtaturu, alisema hayo wakati akisoma maazimio ya halmashauri hiyo, iliyokuwa na lengo la kupokea utekelezaji wa ilani ya uchaguzi kwa kipindi cha miezi sita iliyopita.
Alisema  ni kosa kikanuni kuanza...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge waweka kambi majimboni

>Baada ya kumalizika mkutano wa 18 wa Bunge Jumamosi iliyopita, wabunge wengi wamekimbilia kwenye majimbo yao hatua inayohusishwa na homa ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

 

10 years ago

Habarileo

Takukuru kusambaza makachero majimboni

Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dk Edward HoseaTAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) inatarajia kusambaza vijana wa kazi katika majimbo yote nchini, kuwashughulikia wote walioonesha nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uchaguzi, ambao wanatoa rushwa ili kupata wafuasi.

 

9 years ago

Habarileo

Mtifuano Ukawa wakolea majimboni

SIKU chache baada ya uongozi wa NLD mkoani Mtwara kudai hautambui mpango wa kuachiana majimbo unaohubiriwa na viongozi wakuu wa umoja wa vyama vinne vya upinzani, hali si shwari katika Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, baada ya Chadema na CUF, kila kimoja kusimamisha mgombea wake jimboni humo.

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda: Siku za uandikishaji zitaongezwa majimboni

Dodoma. Serikali imeiagiza Tume ya Uchaguzi (NEC) kuongeza siku za uandikishaji kwenye majimbo iwapo kutakuwa na watu ambao hawajapata nafasi ya kusajiliwa kwenye Daftari la Wapigakura katika muda uliopangwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge wanawajibika kuimarisha elimu majimboni?

Hali ya elimu katika maeneo mengi nchini siyo nzuri. Kinachosikitisha ni kuwa baadhi ya maeneo hayo yanasimamiwa na wabunge waliojipambanua kwa uhodari na umahiri wao wa kujenga hoja bungeni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani