Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Moto wawaka chama tawala CCM Tanzania

Watanzania kumjua ni nani atakayekuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mkuu ujao

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Moto wawaka majimboni

Wakati ikiwa imesalia siku chache kabla ya kipenga cha kuruhusu wananchi kujitokeza kuwania urais, ubunge na udiwani, moto unawaka kwenye majimbo mbalimbali ambako wabunge wanapigana vikumbo na watu wanaoonekana kutaka kuwarithi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Moto wawaka ndani ya Lindi wakati Mheshimiwa Bernard Membe akitangaza nia ya kugombea urais 2015

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwapungia mkono umati wa wana CCM na wakazi wa Lindi katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa, wakati alipotangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba. (Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog).

Wananchi wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Anguko la makada wa chama tawala

Salma Said, TUNAPOULIZANA sababu “hasa” za anguko la makada wakubwa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kura za maoni za kutafuta uteuzi wa kugombea uwakilishi na ubunge majimboni Zanzibar, muhimu kwanza tukumbushane ukweli kuwa kisiasa, CCM […]

The post Anguko la makada wa chama tawala appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Raia Mwema

Chadema chama tawala Arusha

SAFARI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa chama tawala mkoani Arusha ilihitimishwa rasmi Jumatatu

Paul Sarwatt

 

10 years ago

Mtanzania

Obasanjo achana kadi ya chama tawala

ObasanjoMwandishi Wetu na Mashirika ya Habari
RAIS wa zamani wa Nigeria, Olusegun Obasanjo, juzi alichana kadi yake ya uanachama wa chama tawala cha Peoples Democratic (PDP) na kutangaza kuachana na siasa.
Obasanjo aliichana kadi yake hiyo katika makazi yake ya Hilltop huko Abeokuta Kaskazini wakati akizungumza na viongozi wa PDP kutoka kata 11.
Viongozi wa chama hicho katika kata hizo walienda kumwona Obasanjo ili kusafisha hali ya hewa baada ya kuibuka minong’ono kwamba ametimuliwa kutoka chama...

 

10 years ago

BBCSwahili

Chama tawala chashinda uchaguzi Zambia

Mgombea wa chama cha Patriotic Front Edga Lungu ameshinda uchaguzi wa urais nchini Zambia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watetezi wa chama tawala Burundi wauawa

Polisi nchini Burundi wanasema kuwa wanaharakati kutoka kwa chama tawala CNDD-FDD wameuawa kwa kupigwa risasi katika mji ulio mashariki mwa nchi wa Gisuru karibu na mpaka na Tanzania.

 

10 years ago

BBCSwahili

Chama tawala chashinda uchaguzi Botswana

Tume ya uchaguzi nchini Botswana inasema kuwa chama tawala nchini humo kimeshinda uchaguzi mkuu uliondaliwa siku ya ijumaa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Chama tawala nchini Itali chapata pigo

Matokeo ya kwanza ya uchaguzi nchini Itali yanaonyesha kuwa chama tawala kimepata pigo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani